Silaha za viongozi

kisa

New Member
Jul 31, 2009
2
1
Kuna gazeti moja la leo lime report kuwa naibu waziri wa nishati na madini
ameibiwa vitu vya thamani ya tshs 23mill ila hawakumuibia bastola na SMG.....hivi jamani SMG si silaha ya kivita, je inaruhusiwa kumilikiwa na raia?
 
Kujadili hili ni kuweka wazi usalama wa viongozi. Binafsi sidhani kama ni sahihi sana tukaanika wanabeba nini.
 
Mkuu hakuna mtu anaruhusiwa kumilki silaha ya kivita kama vile SMG, LMG ama G3 or G5, nk
 
Kujadili hili ni kuweka wazi usalama wa viongozi. Binafsi sidhani kama ni sahihi sana tukaanika wanabeba nini.

Yeye mwenyewe kesha anika kuwa wanabeba SMG na Pistol sasa wewe unawasiwasi gani suala ni kujadili uhalali wa yeye kumiliki/kutumia SMG silaha ya kivita jambao ambalo haliruhusiwa kwa mujibu wa sheria ya Umiliki wa silaha The Arms and Ammunition Act Cap223
 
kuna gazeti moja la leo lime report kuwa naibu waziri wa nishati na madini
ameibiwa vitu vya thamani ya tshs 23mill ila hawakumuibia bastola na smg.....hivi jamani smg si silaha ya kivita, je inaruhusiwa kumilikiwa na raia?

mawaziri wengine ni majambazi tu!
 
Naamin mm(sina uhakika) Naibu waziri anapewa walinz, yy bastola na SMG/ AK 47 ya nn? sasa hii itafanya watu waanze kuhisi huyu jamaa ana kazi ingine tofauti na ya N/W. Manake kuna kauli aliitoa ya ajabu sana wakati anasikitika kuwa wamebeba pesa ,compt, sim pete na mabegi. akidai wamecha hizo silaha wakati ni MTAJI WA MAISHA, kana kwamba anawashangaa kuiba begi badala ya kuondoka na silaha.
Vile vile kauli yake inaonyesha kuwa yy anaamini kuwa huyo mwizi wake hajui thamani ya zile silaha na kazi zake (UJAMBAZI) akilinganisha na hivyo vitu alivyochukua.
"huu ni mtazamo wangu tu"
 
mi sukumwelewa aliposema silaha ni mtaji wa maisha...kwamba ukiwa jambazi na silaha kali ni mtaji na sio hatari...na kama huna smg ni maskini.!!!
 
:scared:Hivi viongozi wetu wamefikia hatua ya kujihami na silaha nzito kiasi hicho?
wana maadui gani wa kutisha hapa nchini?
na kama ni ULINZI basi huyo waziri hana uwezo wa kujilinda ndo maana mtu anaweza
kusneak na kumwibia! sasa ya nini kubeba masilaa yote hayo!
nina mashaka makubwa sana na huyu kiongozi ("Hisia zangu"), isijekuwa
naye ni miongoni mwa "fisi maji" wanaojikinga na mwavuli wa madaraka...!
Hizi si taswira njema katika taifa!
 
Back
Top Bottom