Sikuwahi kujua!

PetCash

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
1,997
1,997
Watu wengi husema kuwa wanaume wengi hutamani wanawake kwa vile tu walivyo...So mahusiano mengi yanakuwa na wanaume ambao hawajielewi wanadhani wanapenda kumbe wanatamani tu! Na akishaacha kutamani uhusiano kwishney!
Wanawake kwa upande wa pili wanatamani maisha mazuri, pesa nk nk..otherwise wanapenda kweli.

Hii ndiyo sumu ambayo nimenyweshwa all this time.
Sijawahi kujua kwamba unaweza kuwa kwenye uhusiano na msichana na kakutamani tu!
Si hela, wala maisha mazuri, wala hakupendi ila tu kakutamani the way mwanaume anavyomtamani mwanamke
DAH! Something new to learn here!
and I'm like ----->>>:fear:
 
Ujuwe sasa,na ndoa nyingi za sikuhizi zimekuwa hazidumu kutokana na hako ka-concept kakutamani ukidahani kuwa unapenda,ningeshauri somo la mapenzi ya ukweli lifundishwe kuanzia primary schools nahisi itasaidida tuepukane na hili tatizo linalotuletea watoto wa mitaani.
 
Back
Top Bottom