sikutaki tena PLATOZOOM

"hivi sasa waweza kwenda waweza kwenda kwani ckuhitaji tena maishan mwangu uwe wangu ucwe wangu yote ni sawa"
 
"hivi sasa waweza kwenda waweza kwenda kwani ckuhitaji tena maishan mwangu uwe wangu ucwe wangu yote ni sawa"

Hee!
Yamekua hivi tena!
Awali mie nikijua upo kiChtCht zaidi, bt nw naona hutanii !
Haya bibie kichwa ya mtu Serikali ya mtu, hata hivyo Plato still is a human being! Na sitaki kuamini ame mistake kufananisha na kuua!
Ni mistake za kibinadamu, na sitaki kuamini kama kuna kosa lisosameheka hapa under the Sun.
Hebu kaa tafakuri urejelee maamuzi yako kwake.
 
Nimemkuta analia, kajilaza....sababu amechoka.
Mengi amevumilia, yalomkwaza....anataka kuondoka.

Ana siku ya pili sasa
hajarudi nyumbani kulala
namwonea huruma sana
haya mapenzi hayana maana!

Karibu chama la bachala, ukinipenda twamaliza leo leo tu.
Siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana ishakuwa poa poa tu.

Hakunaga mapenzi yale
ya kugandana ni zama za kale
money on the table nawe
kinachofata ni mimi na wewe....na wewe!

Who's the single girl..
Who's the single girl...(I am a single girl)
Who's the single girl...(Ni nani single girl)
Who's the single girl....(I am a single girl)
 
"nimesema ckutaki narudia tena ckutaki, nlikupa last chance" by jide pokea hyo

Unaweza toa pendo lako kwa furaha, kumbe moyoni umejijazia karaha.
Hutakiwi juta kwani katu hutojua, unaempenda yeye anakuzingua.

Niliwahi kumwimbia mpenzi wangu, sema unachotaka ni wimbo uliofatia.
Lakini penzi hakuna bali ni kutendwa.

NIMEAMUA KUWA KOMANDO BINTI MACHOZI!!!!
 
Mnatiana moyo eh?
 
jamani ctaki maswali kuhusiana na hilî. . . nimeamua mwenyewe nikiwa na akili timamu. . . na ctak kuwa na mtu yeyote tena!
Pole bibie punguza hasira yote ni mipango ya Mola! Tulia utampata mwingine humu humu mwenye mapenzi ya kweli.
 
Nimemkuta analia, kajilaza....sababu amechoka.
Mengi amevumilia, yalomkwaza....anataka kuondoka.

Ana siku ya pili sasa
hajarudi nyumbani kulala
namwonea huruma sana
haya mapenzi hayana maana!

Karibu chama la bachala, ukinipenda twamaliza leo leo tu.
Siku hizi kwa kudanganyana, mvulana msichana ishakuwa poa poa tu.

Hakunaga mapenzi yale
ya kugandana ni zama za kale
money on the table nawe
kinachofata ni mimi na wewe....na wewe!

Who's the single girl..
Who's the single girl...(I am a single girl)
Who's the single girl...(Ni nani single girl)
Who's the single girl....(I am a single girl)

Unamwimbia nani?
 
Back
Top Bottom