sikutaki tena PLATOZOOM

Long over due maamuzi,hongera sana,yaani ujue siku zote naugulia nikiona vile huyu bwana anakutenda,gest zote za kinondoni kazimaliza,ipi wasiyomjua?
Lakini na wewe umejiangalia kwenye kioo,uko safi kiasi gani?
Judgement.....come this way pliz.

Mkubwa Byshenger acha basi kunipakazia banaa!
Mi sihusiki kwa njia yyt na couple hii inayoelekea kuchinjiwa baharini.
Umenifanya hata leo mjengoni nimeshindwa kuchangia vizuri budget ya Mgimwa.
 
Judgement yan najuuta kumfahamu platozoom. . . yan we acha
 
Last edited by a moderator:
Mkubwa Byshenger acha basi kunipakazia banaa!
Mi sihusiki kwa njia yyt na couple hii inayoelekea kuchinjiwa baharini.
Umenifanya hata leo mjengoni nimeshindwa kuchangia vizuri budget ya Mgimwa.
nenda kituoni utamkuta afande asprin kaandikishe stetimenti yako ya kujikosha.
 
Pole wa kwetu ila mi nilijua tu! Kwanza nilikushangaa kidogo ulikuwa unamatch nae vipi mtu mvivu kuoga?
 
we tema bigjii kwa karanga za kuonja
tena unatangaza hadharani magubegube wapo kwa ajili ya kutibu maradhi ya mumeo so ukilia nitakusaidia ktambaa tu cha kufutia machoz
 
Long over due maamuzi,hongera sana,yaani ujue siku zote naugulia nikiona vile huyu bwana anakutenda,gest zote za kinondoni kazimaliza,ipi wasiyomjua?
Lakini na wewe umejiangalia kwenye kioo,uko safi kiasi gani?
Judgement.....come this way pliz.
Bishanga khaa! hujakoma tu ulivosutwa haaahaha!
 
Pole wa kwetu ila mi nilijua tu! Kwanza nilikushangaa kidogo ulikuwa unamatch nae vipi mtu mvivu kuoga?

asante sana mwetu! yan we acha. . . unajua nilikuwa nawashangaa sna walio cngo yan ndo maisha yao yote wako cngo na wala hawafikirii kuwa double naona km wamechanganykiwa hv. sasa naelewa ni kwanini!
 
Hii ni kwa sababu ambazo alizitoa chumbani zisizo na msingi! kumbe amenisaliti na ....... watajitaja..... SITAKI TENA NAKWENDA KUSOMEA USISTAAAAAAA

NB: SITAKI USUMBUFU WA AINA YOYOTE KUANZIA SASA KUTOKA KWA YEYOTE!!!!!!!!!!!

Mbona kama unamuogopa? mpe live bila chenga. mwambie kabisa sasa hivi upo na kijana wako figganigga. Mia
 
we tema bigjii kwa karanga za kuonja
tena unatangaza hadharani magubegube wapo kwa ajili ya kutibu maradhi ya mumeo so ukilia nitakusaidia ktambaa tu cha kufutia machoz

Meritta nimefikiria zaid ya mara 10 kumsamehe bt nimeshindwa nashukuru nimeweza kuwa na UJASIRI WA KIFISADI ktk kufanya maamuz magumu km haya. wanaomtaka na wamchukue!
 
Last edited by a moderator:
Mbona kama unamuogopa? mpe live bila chenga. mwambie kabisa sasa hivi upo na kijana wako figganigga. Mia

weeeee tena ishia hapo hapo! sihitaji, sitaki na wala cna mpango wa kuwa na the so called mwanaume kamwe!
 
Achana nao hao wanao kuweka roho juu hadi wanakufanya uwachukie wanaume. Huna haja ya kunipotezea coz sijakukosea na unajua kabisa mimi nina mapenzi motomoto. Mimi na wewe damudamu.
njoo unikiss baby njoo unipe denda figganigga naumia. Mia
 
weeeee tena ishia hapo hapo! sihitaji, sitaki na wala cna mpango wa kuwa na the so called mwanaume kamwe!

Charmy!
Hembu turudi na nyuma kidogo, wajua mi sijaufatilia huu uzi comments after comments, nauliza umeshaanika hapa a particular reasons which may lead you to announce this matter ?
 
"nimesema ckutaki narudia tena ckutaki, nlikupa last chance" by jide pokea hyo
 
Back
Top Bottom