"Sikushinikizwa kumpeleka mwanangu uwanjani"- Baba mzazi wa Ismail

Walitupa karata ya udini sasa imewageukia, damu ya mtu haimwagiki bure lazima ije kula kwao, mkwere, makamba & co tunawasubiria ni swala la mda tuu you are going down, you have no place to go except down

Mmh! Naona kipindi hiki kwa CCM kila kitu kina waka moto inabidi tu wajikokote waanze kusaidia kuondoa kero kwa wananchi sasa. Walijisahau saana wakaendekeza "politiki" sasa hamna ujanja tena, watu wameshawashtukia. No way out!
 
..another shame to daily news chief editor Mkumbwa.....,no wounder he is fighting to keep his job ....by pleasing the big poss...."one who pays the drumer ,chose the beat"..muonekano wa maandishi ya mkumbwa ..ni dhahiri kuwa ndo mawazo ya JK...ndio maana Ikulu wamefuta mchakato wa wazi wa kumpata mtendaji mkuu [chief editor ] wa magazeti yake baada ya kuona kuwa kibaraka wao hafikii vigezo vinavyotakiwa ..........huyu hawezi kuwa hata muhariri wa KIU ,sembuse gazeti lolote la habari....tunasubiri na TBC wataaibika tu!!
 
Mwisho wao umekaribia mkuu! Na watahangaika sana kujisafisha. Shame on Habari Leo.
 
Baba mzazi wa kijana Ismail aliyepigwa risasi na kuuawa na polisi huko Arusha, katika mapambano kati ya Jeshi la polisi na wafuasi wa CHADEMA amesema kuwa hakukuwa na shinikizo lolote kupeleka mwili wa mwanae viwanja vya NMC kwa ajili ya ibada ya kumuaga.

Mzazi huyo amesema uamuzi wa kupeleka mwili huo viwanjani NMC ulikuwa ni uamuzi wa familia na hakukuwa na shinikizo lolote kutoka nje ya familia kama ilivyodaiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapo awali.

"Yalikuwa ni maamuzi ya familia kuwa mwili wa Ismail upelekwe viwanjani kuagwa na hakukuwa na shinikizo lolote kama inavyodaiwa." alisema mzazi huyo na kuongeza
"Tuliamua kufanya hivyo ili kuuonesha ulimwengu ukiukwaji haki uliyofanywa na jeshh la polisi"

Taarifa hii inakuja siku chacie baada ya kuenea uvumi kuwa wazazi wa Ismail walishinikizwa kupeleka mwili wa marehemu viwanja vya NMC kwa ajili ya ibada ya mazishi.

Uvumi huo ulizidi kupaizwa na vyombo vya habari, na kukihusisha chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusika kuishinikiza familia kuileta maiti ya Ismail uwanjani NMC.

Kwa maana hiyo taarifa ya mzazi wa Ismail inakisafisha chama cha CHADEMA kutokana na kupakaziwa na kuchafuliwa na taarifa za uvumi zilizotolewa awali.

Vilevile taarifa hii inaonesha wazi namna baadhi ya watu wenye nia mbaya wanavyopika habari na kuzivumisha, huku wakichafua wengine kwa alili ya maslahi yao wenyewe.

Pongezi kwa mzazi wa Ismail aliyeamua kueleza ukweli. Pongezi CHADEMA kwa kuruka kiunzi cha kutaka kuchafuliwa kwenye kazi njema mliyoianza.

SOURCE:Radio One.
Ingefaa familia na CHADEMA wafungue madai ya kudhalilishwa na gazeti la Habari leo lililoandika habari hizi kuwafurahisha Kikwete , Makamba na wauaji wanzao wanaojiita nambari wani. Labda hatua hiyo itakupunguza umbea wa magazeti na vyombo vya habari vinavjojiita vya serikali na ambavyo vimefugwa na CCM. Kutwaaa kucha habari za kujikomba kwa Kikwete, Makamba, mafisadi na vibakauchumi wenzao!
 
hatimaye mahasidi wanaumbuliwa, maana kuna wasafisha midomo walishaanza kuchonga mpaka mwisho, nayashangaa sana machoko wanaoitetea CCM.
 
Mzee wa Ismail ni Jasiri! Mfano mzuri wa Mtanzania wa sasa! Huwezi kumwekea maneno mdomoni.
 
mtoto wa nyoka ni nyoka, ulitegemea shujaa ismail awe na baba zezeta litakalo buruzwa na makamba ?
 
tunaambiwa usalama wa taifa walifuata familia zote wakawatisha na kuwakataza wasithubutu kupeleka marehemu wao uwanjani. badala yake wawazike kimyakimya ili kuuficha uhalisia wa mambo. tunashukuru familia zote mbili walielewa dhamira ya serikali kwamba ni kuuficha ukweli na kukata agizo la serikali.
 
FAMILIA ya marehemu Ismail Omari (25) aliyeuawa katika vurugu za kisiasa zilizotokea Januari 5 mwaka huu mkoani hapa, imedai kushinikizwa na Chadema kumpeleka marehemu wao katika uwanja wa NMC kuagwa kinyume na maamrisho ya dini yao.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, baba mzazi wa marehemu huyo Omar Juma,
alisema shinikizo lililowafanya kukubali kitendo hicho lilitolewa juzi usiku baada ya msemaji wa familia yake, Nyerere Kamili, kupokea simu kutoka kwa mmoja wa viongozi wa Chadema; Diwani wa Elerai, John Bayo, kuwa iwapo hawatakubali kupeleka mwili wa ndugu yao kwenye uwanja huo, chama chake kitajitoa kushughulikia mazishi.

Alidai mbali na shinikizo hilo, pia juzi wakiwa chumba cha maiti, katika hospitali ya mkoa ya Mount Meru, kuchukua mwili huo, walikuta mazingira yasiyo mazuri kwao kugomea kupeleka mwili huo wakihofia kudhuriwa na wafuasi wa Chadema, ambao walikuwa wamefurika eneo hilo wakitaka miili yote ipelekwe uwanjani kuagwa.

Alisema kutokana na sababu hizo, pia alilazimika kuwapigia simu viongozi hao wa Chadema na alikutana nao siku hiyo, wakakubaliana kuupeleka mwili huo uwanjani hapo, ili kupata msaada wa chama hicho wa mazishi kwa kuwa hawana uwezo wa kuendesha mazishi hayo.

"Sasa baada ya sisi kupokea simu hiyo, tulilazimika kuwapigia simu ili kupata msaada, maana vifo vimetokana na mkutano wao, sasa uwezo hatuna na hali ilivyokuwa pale, tungeweza kupigwa hata mawe na wafuasi wao kwa hiyo ilikuwa hivyo," alisema Omar.

Pia alisema kutokana na shinikizo hilo, liliipa wakati mgumu familia yake baada ya Waislamu kuchukizwa na kitendo hicho hadi kufikia kunyimwa jeneza la kubebea maiti hali iliyowalazimu kuhangaika katika zaidi ya misikiti mitatu bila mafanikio.

Aliongeza kuwa baada ya hali hiyo, alikwenda kuchukua jeneza kwenye msikiti wa hospitali ya Mount Meru akikodi kwa Sh 5,000 ambayo hadi jana walikuwa wakidaiwa kutokana na kushindwa kulipa.

Kwa hali hiyo na kutambua kuukosea Uislamu na Waislamu kwa jumla, aliwaomba viongozi kuisamehe familia yake kwa kuwa haikuwa dhamira yao kufanya hivyo, bali kwa shinikizo la Chadema.

Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Baraza la Wazee wa Chadema wa Mkoa wa Arusha, Haruna Fundikira, alipoulizwa kuhusu suala hilo alikiri na kusema hata yeye aliungana na familia ya marehemu, kuwa suala la kupeleka maiti katika uwanja huo halikuwa sahihi kulingana na maamrisho ya dini.

Alisema walichokubaliana ni kupata japo picha ya marehemu Ismail ili ioneshwe uwanjani hapo, lakini maiti achukuliwe na kupelekwa kwa maziko Usa River, lakini alishangazwa na taarifa kuwa mwili huo ulipelekwa uwanjani hapo.

Alisema siku moja kabla ya maziko, alikwenda kwa familia ya marehemu kupanga mipango ya maziko hayo na walipokubaliana juu ya taratibu hizo, aliahidi kutoa sanda, lakini alilazimika kuahirisha kuitoa, baada ya kuona utaratibu tofauti na aliokubaliana na familia hiyo.

"Mimi jana sikwenda uwanjani hapo, nilikuwa na mgeni nyumbani, lakini nilichosikia ni kwamba walipeleka mwili huo uwanjani tofauti na nilivyokubaliana nao na sikutoa tena sanda, maana walikuwa na uamuzi wao kama familia," alisema Fundikira.

Aliongeza kuwa, baada ya kuahirisha kutoa sanda, alipokea simu kutoka kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akisema ameshakubaliana na familia kuhusu taratibu zote za maziko na asihangaike kutoa sanda, kwani chama kitatoa.

Shehe wa Msikiti wa Bondeni, Shaaban Juma, alisema familia hiyo haina haja ya kuomba radhi, kwa kuwa alishirikiana nayo kwa hali na mali, lakini akashangazwa alipoambiwa na
mmoja wa wanafamilia, aondoke kwenye chumba cha maiti na angempigia simu baadaye, kwa kuwa suala hilo lilikuwa likiihusu familia pekee.

Alisema kamwe hawezi kuiomba radhi familia hiyo wala kutoa msamaha yeye, kwani familia imemkosea Mwenyezi Mungu na si Waislamu, kwa kukiuka misingi na taratibu za dini hiyo na iwapo iliona inazidiwa nguvu, ilipaswa kukabidhi jukumu hilo kwa viongozi wa kiislamu ili walisimamie.

"Mbali na Qur'an na Hadithi za Mtume kukataza, lakini kitendo cha kumpeleka marehemu wa
kiislamu uwanjani pale, ambao uligubikwa mapambio ni kinyume na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na ni moja ya sababu iliyosababisha yeye asihudhurie maziko hayo," alisema Shehe Shaaban.

Juzi Chadema iliendesha ibada maalumu ya kuaga miili ya marehemu wawili waliopoteza maisha katika mapambano baina ya wafuasi wa Chadema na Polisi kutokana na kufanya maandamano yaliyozuiwa kwa kuhofia uvunjifu wa amani ambapo watu watatu walipoteza maisha.

Katika hatua nyingine mwili wa marehemu Denis Shirima, nao ulihamishwa kutoka sanduku ambalo lilionekana kuwa duni na kuingizwa katika sanduku la kifahari, ambalo lilinunuliwa na Chadema.

Awali marehemu alikuwa kwenye sanduku la kawaida la rangi nyeupe wakati mwili ukiwa hospitalini tayari kupelekwa kwenye uwanja wa NMC kuuagwa, lakini baadaye ukabadilishiwa kwenye sanduku hilo jipya na la zamani haikujulikana lilikopelekwa.

Source: Habari Leo
 
Baba mzazi wa kijana Ismail aliyepigwa risasi na kuuawa na polisi huko Arusha, katika mapambano kati ya Jeshi la polisi na wafuasi wa CHADEMA amesema kuwa hakukuwa na shinikizo lolote kupeleka mwili wa mwanae viwanja vya NMC kwa ajili ya ibada ya kumuaga.

Mzazi huyo amesema uamuzi wa kupeleka mwili huo viwanjani NMC ulikuwa ni uamuzi wa familia na hakukuwa na shinikizo lolote kutoka nje ya familia kama ilivyodaiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapo awali.

"Yalikuwa ni maamuzi ya familia kuwa mwili wa Ismail upelekwe viwanjani kuagwa na hakukuwa na shinikizo lolote kama inavyodaiwa." alisema mzazi huyo na kuongeza
"Tuliamua kufanya hivyo ili kuuonesha ulimwengu ukiukwaji haki uliyofanywa na jeshh la polisi"

Taarifa hii inakuja siku chacie baada ya kuenea uvumi kuwa wazazi wa Ismail walishinikizwa kupeleka mwili wa marehemu viwanja vya NMC kwa ajili ya ibada ya mazishi.

Uvumi huo ulizidi kupaizwa na vyombo vya habari, na kukihusisha chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhusika kuishinikiza familia kuileta maiti ya Ismail uwanjani NMC.

Kwa maana hiyo taarifa ya mzazi wa Ismail inakisafisha chama cha CHADEMA kutokana na kupakaziwa na kuchafuliwa na taarifa za uvumi zilizotolewa awali.

Vilevile taarifa hii inaonesha wazi namna baadhi ya watu wenye nia mbaya wanavyopika habari na kuzivumisha, huku wakichafua wengine kwa alili ya maslahi yao wenyewe.

Pongezi kwa mzazi wa Ismail aliyeamua kueleza ukweli. Pongezi CHADEMA kwa kuruka kiunzi cha kutaka kuchafuliwa kwenye kazi njema mliyoianza.

SOURCE:Radio One.
FAMILIA ya marehemu Ismail Omari (25) aliyeuawa katika vurugu za kisiasa zilizotokea Januari 5 mwaka huu mkoani hapa, imedai kushinikizwa na Chadema kumpeleka marehemu wao katika uwanja wa NMC kuagwa kinyume na maamrisho ya dini yao.

Akizungumza na waandishi wa habari jana, baba mzazi wa marehemu huyo Omar Juma,
alisema shinikizo lililowafanya kukubali kitendo hicho lilitolewa juzi usiku baada ya msemaji wa familia yake, Nyerere Kamili, kupokea simu kutoka kwa mmoja wa viongozi wa Chadema; Diwani wa Elerai, John Bayo, kuwa iwapo hawatakubali kupeleka mwili wa ndugu yao kwenye uwanja huo, chama chake kitajitoa kushughulikia mazishi.

Alidai mbali na shinikizo hilo, pia juzi wakiwa chumba cha maiti, katika hospitali ya mkoa ya Mount Meru, kuchukua mwili huo, walikuta mazingira yasiyo mazuri kwao kugomea kupeleka mwili huo wakihofia kudhuriwa na wafuasi wa Chadema, ambao walikuwa wamefurika eneo hilo wakitaka miili yote ipelekwe uwanjani kuagwa.

Alisema kutokana na sababu hizo, pia alilazimika kuwapigia simu viongozi hao wa Chadema na alikutana nao siku hiyo, wakakubaliana kuupeleka mwili huo uwanjani hapo, ili kupata msaada wa chama hicho wa mazishi kwa kuwa hawana uwezo wa kuendesha mazishi hayo.

"Sasa baada ya sisi kupokea simu hiyo, tulilazimika kuwapigia simu ili kupata msaada, maana vifo vimetokana na mkutano wao, sasa uwezo hatuna na hali ilivyokuwa pale, tungeweza kupigwa hata mawe na wafuasi wao kwa hiyo ilikuwa hivyo," alisema Omar.

Pia alisema kutokana na shinikizo hilo, liliipa wakati mgumu familia yake baada ya Waislamu kuchukizwa na kitendo hicho hadi kufikia kunyimwa jeneza la kubebea maiti hali iliyowalazimu kuhangaika katika zaidi ya misikiti mitatu bila mafanikio.

Aliongeza kuwa baada ya hali hiyo, alikwenda kuchukua jeneza kwenye msikiti wa hospitali ya Mount Meru akikodi kwa Sh 5,000 ambayo hadi jana walikuwa wakidaiwa kutokana na kushindwa kulipa.

Kwa hali hiyo na kutambua kuukosea Uislamu na Waislamu kwa jumla, aliwaomba viongozi kuisamehe familia yake kwa kuwa haikuwa dhamira yao kufanya hivyo, bali kwa shinikizo la Chadema.

Mwenyekiti wa Wenyeviti wa Baraza la Wazee wa Chadema wa Mkoa wa Arusha, Haruna Fundikira, alipoulizwa kuhusu suala hilo alikiri na kusema hata yeye aliungana na familia ya marehemu, kuwa suala la kupeleka maiti katika uwanja huo halikuwa sahihi kulingana na maamrisho ya dini.

Alisema walichokubaliana ni kupata japo picha ya marehemu Ismail ili ioneshwe uwanjani hapo, lakini maiti achukuliwe na kupelekwa kwa maziko Usa River, lakini alishangazwa na taarifa kuwa mwili huo ulipelekwa uwanjani hapo.

Alisema siku moja kabla ya maziko, alikwenda kwa familia ya marehemu kupanga mipango ya maziko hayo na walipokubaliana juu ya taratibu hizo, aliahidi kutoa sanda, lakini alilazimika kuahirisha kuitoa, baada ya kuona utaratibu tofauti na aliokubaliana na familia hiyo.

"Mimi jana sikwenda uwanjani hapo, nilikuwa na mgeni nyumbani, lakini nilichosikia ni kwamba walipeleka mwili huo uwanjani tofauti na nilivyokubaliana nao na sikutoa tena sanda, maana walikuwa na uamuzi wao kama familia," alisema Fundikira.

Aliongeza kuwa, baada ya kuahirisha kutoa sanda, alipokea simu kutoka kwa Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, akisema ameshakubaliana na familia kuhusu taratibu zote za maziko na asihangaike kutoa sanda, kwani chama kitatoa.

Shehe wa Msikiti wa Bondeni, Shaaban Juma, alisema familia hiyo haina haja ya kuomba radhi, kwa kuwa alishirikiana nayo kwa hali na mali, lakini akashangazwa alipoambiwa na
mmoja wa wanafamilia, aondoke kwenye chumba cha maiti na angempigia simu baadaye, kwa kuwa suala hilo lilikuwa likiihusu familia pekee.

Alisema kamwe hawezi kuiomba radhi familia hiyo wala kutoa msamaha yeye, kwani familia imemkosea Mwenyezi Mungu na si Waislamu, kwa kukiuka misingi na taratibu za dini hiyo na iwapo iliona inazidiwa nguvu, ilipaswa kukabidhi jukumu hilo kwa viongozi wa kiislamu ili walisimamie.

"Mbali na Qur'an na Hadithi za Mtume kukataza, lakini kitendo cha kumpeleka marehemu wa
kiislamu uwanjani pale, ambao uligubikwa mapambio ni kinyume na maamrisho ya Mwenyezi Mungu na ni moja ya sababu iliyosababisha yeye asihudhurie maziko hayo," alisema Shehe Shaaban.

Juzi Chadema iliendesha ibada maalumu ya kuaga miili ya marehemu wawili waliopoteza maisha katika mapambano baina ya wafuasi wa Chadema na Polisi kutokana na kufanya maandamano yaliyozuiwa kwa kuhofia uvunjifu wa amani ambapo watu watatu walipoteza maisha.

Katika hatua nyingine mwili wa marehemu Denis Shirima, nao ulihamishwa kutoka sanduku ambalo lilionekana kuwa duni na kuingizwa katika sanduku la kifahari, ambalo lilinunuliwa na Chadema.

Awali marehemu alikuwa kwenye sanduku la kawaida la rangi nyeupe wakati mwili ukiwa hospitalini tayari kupelekwa kwenye uwanja wa NMC kuuagwa, lakini baadaye ukabadilishiwa kwenye sanduku hilo jipya na la zamani haikujulikana lilikopelekwa.

Source: HabariLeo

Haya hebu chambueni hapo..... Tusikurupuke na sisis. Halafu Mzee Sabodo anazo milioni tano za babaye Ismail.
 
Upotoshaji wa vyombo vya habari umekuwa jambo la kawaida. Hakuna anayelikemea. Hiyo tume/kamisheni inayosimamia tasnia ya habari imekaa kimya kama Raisi na Viongozi wengine wanavokaa kimya. Habari Leo, Uhuru, Mzalendo, Daily News, Tanzania Daima, Mwanahalisi n.k kuna upande yanaegemea! Ukinunua unatarajia habari itakayokuwa imeandikwa inamuelekeo fulani! Waandishi wa habari wanaandika ili mradi kuwafurahisha wamiliki kwa kupotosha ukweli au uchochezi! Hii hali sio ya kuachwa iendelee!
 
Familia inabidi ipate ushauri na msaada wa kisheria kulishitaki gazeti la Tanzania la habari leo kwa kuwachafua na kuingilia uhuru wa familia na kuwachonganisha na waislamu wenzao
 
Walitupa karata ya udini sasa imewageukia

Kwa kuwa tunalijua hili, basi nawaombeni tuwe waangalifu sana tunapoongelea masuala ya dini zetu. Tendo/kauli moja la musilam lisiwe ni sababu ya kuonekana ndivyo waislam wote walivyo, halikadhalika tendo/kauli moja la wakristo lisichukuliwe kama ndiyo tendo la wakristo wote.

Katika jitihada zetu hizi za kuutaka ukweli, haki, demokrasia na maendeleo, mbinu mbalimbali za wasiotaka mabadiliko zitatumika, ikiwemo udini, ukabila, n.k. Sisis tuzishinde hizo zote kwa kuzidi kushikamana zaidi. Kukitokea muislam au waislam wenye kuulaani ukristo au wakristo, kabla ya wakristo hawajahamaki na kuingia kwenye mtego wa kuanzisha mijadala ya udini, watazameni wale waislam walio wengi mnaoishi nao, mnaofanya nao kazi, wali ndugu zenu, marafiki, wake, watoto, wapenzi wenu, n.k., na muone kama kweli kauli hiyo inawawakilisha hao, kama si hivyo ipuuzeni. Halikadhalika kwa waislam nao wafanye hivyo hivyo.

Hatuwezi kufanikiwa kuleta mabadiliko ya nchi hii bila ya kushikamana katika kuyatafuta.
 
Ingefaa familia na CHADEMA wafungue madai ya kudhalilishwa na gazeti la Habari leo lililoandika habari hizi kuwafurahisha Kikwete , Makamba na wauaji wanzao wanaojiita nambari wani. Labda hatua hiyo itakupunguza umbea wa magazeti na vyombo vya habari vinavjojiita vya serikali na ambavyo vimefugwa na CCM. Kutwaaa kucha habari za kujikomba kwa Kikwete, Makamba, mafisadi na vibakauchumi wenzao!

Mkuu, naunga mkono hoja.
 
Huyu mzee afungue kesi ya fidia toka Habari Leo..

Mkuu nami nilikuwa na mawazo hayohayo, but mzazi huyu akiachiwa peke yake hawezi. I know there is plenty of JF members wenye uelewa wa sheria. Nani ajitokeze kumsaidia huyu mzee, ajue pa kuanzia ili asipokwe haki yake.?

Au mzee Mwanakijiji kutokana na heshima kubwa uliyojipatia humu jamvini na kwa wanazuoni wote wanaokufahamu, unaonaje ukazungumza na viongozi wa CDM wakamwekea huyu mzee wakili? Please let us take this issue seriously.
 
Back
Top Bottom