Sikumwona mr siku ya valentine day

Si jukwaa la kuchorana...mbona unasema mara una tafuta mchumba mara una mr. na mtoto...Tukueleweje dada....

Kama uliyoyaandika ni kweli basi wastahili adhabu kama hiyo...hakuna jambo mabaya kama kudanganya watu wenye akili.

:coffee:
 
kumbe huyu ndo aliyepost anamtaka mume wa jirani? Leo unalia kuachwa solemba? Nadhan alitegemea watu wamesahau ile thread aliyoleta awali.

Kumbe kuna watu wanajivisha mikasa feki?!!

Central Prosessing Unit ulikuwa huna habari??? Feki ndo zimejaa humu FYI
 
Noti inafuuuuuu!!!!!! Duuuuu siku utakuwa unahitaji msaada wa mawazo juu ya kitu cha msingi utaukosa kwa sababu ya jinsi unavyoweka thread za mzaha mzaha hapa.
Hata hili kama ni la kweli, tutaunganisha thread zako ile ya kusema hakuna ustaarabu kwenye ngono, unamtamani mume wa mtu. Halafu nasema hivi Mshahara wa dhaambi ni mauti!! Unaishi na mtu unaefanana naye tabia, manake wakati mwingine tabia unazozitaka kwa mwenza wako kagua kama wewe unazo. Haya mama kazi kwako kusuka au kunyoa. Ila naomba usikutane na mume wangu tu usije ukamtamani shostito!!
 
Hivi inakuwaje unaanzisha thread ambayo ni uongo.... yaani wewe in two weeks umpate 'mume'..mhhh??!!!! inawezekana unatafuta pole kwa wanaJF au ulifikiri hawakuiona hiyo post?...POLE SANA...:coffee:
 
Hivi inakuwaje unaanzisha thread ambayo ni uongo.... yaani wewe in two weeks umpate 'mume'..mhhh??!!!! inawezekana unatafuta pole kwa wanaJF au ulifikiri hawakuiona hiyo post?...POLE SANA...:coffee:

My Dear zipo nyingi sana za hivi humu
 
Du NOT ENOUGH ulichokifanya si kizuri, hii chance tumepewa bure kina-Max na wenzake wenye moyo wanaochangia fedha cash ndio maana tunatoka hewani
sasa ww unatusumbua kukutafutia mume wa jirani yako kumbe una mume na amekutoroka Valentine Day
halafu una mtoto nakuomba enough badili thread na shawishi watu wachangie angalau 5,000/=au zaidi
Mm natuma usiniulize, kwani ni kilevi changu kwa sasa kuliko pombe vibint au wake za watu na uwe unatosheka
 
Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.

Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.

Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.

Kuna jirani yako alikuwa anamtamani siku nyingi sasa baada ya vitimbi vya muda mrefu vya nguvu hatimaye kampata na hiyo juzi walikuwa wanakula maraha katika sikukuu ya wapendanao. Mkuki kwa nguruwe.........

Good Day
 
Jamani mwenzenu yamenikuta ya kunikuta, nilikuwa mgonjwa jana siku nzima sikuweza kwenda kokote pressure ilikuwa juu.

Mr wangu alivyo ondoka nyumbani juzi tarehe 14 asubuhi hakurudi tena mpaka jana jioni. Imeniuma sana sababu hajanipa sababu zozote za msingi kwanini hakurudi nyumbani.

Niko kwenye maamuzi magumu nataka nimchukuwe mtoto wangu nikatafute kwa kuishi.
Wakati unajilengesha kwa mume wa jirani mara zote mumeo hakuona au kusikia habari hiyo? Sasa baadala ya kubadilika unataka kukimbia kuwajibika. Inawezekana uliyokuwa ukitenda jamaa anayaona na kuamua kupata mapumziko sehemu. Hivi hizo pati zenu za jikoni ni za nini basi.
 
Alikua bize na aliyedata nae kama wewe ulivyodata na mume wa mwenzio!!:coffee:
 
Pole sana,pamoja na upungufu wako wa kibinadamu unastahili ushauri,kabla ya kuondoka na mwanao nakusihi kaa chini na mume wako na uzungumze naye kuhusu hilo,naye pia ana mapungufu kama ulivyokuwa nayo wewe,tangu ulipoweka ile thread ya kumtaka mume wa mtu nilishahisi una tatizo na mume wako,kaeni chini mzungumze kwa uwazi,kama nyote mko tayari kuimarisha ndoa kwa kubadilika na kujifunza kuvumiliana na kukataa tamaa mbaya kadri ya uwezo wenu poa,kama mtaamua kuachana,then sawa,nitakutakia kila la kheri,ila tulia kwanza na fanya uamuzi hasira ikiwa imepungua kidogo........sikuzote kumbuka si vizuri kuyakimbia matatizo ni vizuri kuyakabili manake huko uendako yaweza kuwa makubwa zaidi.
 
duu nimewaaminia kwa kuwa na kumbukumbuku.mhhhh sina la kumshauri zaidi ya kusema maneno huumba,mla cha mtu nae huliwa.
 
Pole sana,pamoja na upungufu wako wa kibinadamu unastahili ushauri,kabla ya kuondoka na mwanao nakusihi kaa chini na mume wako na uzungumze naye kuhusu hilo,naye pia ana mapungufu kama ulivyokuwa nayo wewe,tangu ulipoweka ile thread ya kumtaka mume wa mtu nilishahisi una tatizo na mume wako,kaeni chini mzungumze kwa uwazi,kama nyote mko tayari kuimarisha ndoa kwa kubadilika na kujifunza kuvumiliana na kukataa tamaa mbaya kadri ya uwezo wenu poa,kama mtaamua kuachana,then sawa,nitakutakia kila la kheri,ila tulia kwanza na fanya uamuzi hasira ikiwa imepungua kidogo........sikuzote kumbuka si vizuri kuyakimbia matatizo ni vizuri kuyakabili manake huko uendako yaweza kuwa makubwa zaidi.

Ushauri mzuri aunt Michelle..:clap2:...hope alichosema huyu dada ni cha kweli...maana inaoenakana watu wanatengeneza fake events ili kupata tu reactions za wanaJF!
 
Eh...................kumbe nimepitwa na mengi eh...........hata sijui nichangieje hoja.
Pole Mamito
 
Inawezekana mumewe ni kiruka njia wa jirani yake ametulia sana anajali family ndio maana akamtamani. pole mwaya ila muda bado upo unaweza mbadilisha kwa kumshauri akawa mume mwema. jitahidi usitapetape na wewe kuwa imara muombe mungu akutie moyo.
 
Back
Top Bottom