Sikumbuki ushujaa ule nilipata wapi!!!!

hamna kitu kibaya kama kugundua mpenzi wako anakusaliti, hiki kitu kimenitokea katika maisha yangu, omba yasikukute.

Acha kabisa mke au mpenzi kitu kingine mzee hata uwe baunsa hapo utatulia tu
 
Du mikasa mingine inasikitisha sana, lakini nimekubari sana ushauri wako wa mwisho.
 
Aisee hii ngumu kumeza. Hongera kwa kutulia, na mmama naona aliona hana thamani ya wewe ndio maana akasepa!

Vipi umeoa tena au umeshaathirika kissikolojia?

Na unamuona mkeo mpya kama wa zamani, au umeshaweza kutrust tena!

A word of advice kwa wengine waliotendwa kama wewe na hawajarecover bado!
 
Ndio maana naipenda JayEfu, nimeshapata ma tactic mengine ya kuendesha shughuli za kipelelezi. Mimi bado naamini kuwa information is power...sikubaliani kabisa na wanaounga mkono kuwa ni bora usijue...napenda sana kuwa informed. Lol. Kwa sababu nina kifua cha kufanya maamuzi...
 
Pole sana...umesema tusijaribu kuwafanyia kama bado tunawapenda, unajua kuna vitu vingine ni vya ajabu sana....am sure wewe kilichokufanya uchunguze ni ule u-busy wake, inafikia wakati mpaka unamuuliza lakini bado....hashtukii tu!
Kwa hiyo hapa kama mtu unampenda mkeo basi uendelee kukaa kimya, huwezi kujua nini kingefuata kuna migonjwa,kuna izo issue za watoto mzee unajiona unao watatu kumbe hamna lolote.
 
Duuh pole yalikukuta....mimi bado nahisi umefanya maamuzi mema. Ni ujinga ukiwa mtu uko kwenye ndoa na 100% kujiamini kwa maisha ya bongo ni kama ndoto. Inatakiwa from time to time, to check just in case.
 
Aisee hii ngumu kumeza. Hongera kwa kutulia, na mmama naona aliona hana thamani ya wewe ndio maana akasepa!

Vipi umeoa tena au umeshaathirika kissikolojia?

Na unamuona mkeo mpya kama wa zamani, au umeshaweza kutrust tena!

A word of advice kwa wengine waliotendwa kama wewe na hawajarecover bado!

Kumbe bado huja-recover! cam this wei.........i will heal all yua wounds.believe me
 
Mkuu, yaani kama movie. Jambo moja nalokusifia ni kuwa ulicontrol hasira zako. Hapo nimejifunza mkuu. Sasa umeoa??-na kama umeoa, je huwa hupati mang'amung'amu kwamba utakuwa cheated tena???? Pole sana.
 
Jeff nimetoa angalizo hapo ikiwa tunawapenda wapenzi wetu basi tusipekue sana wanayofanya,maana wengi wetu sio waaminifu

Angalizo lako sijalipenda kabisa,

Yaani wewe umetulia tu, mke wako anachat na wanaume tena nyumbani halafu unakuja na conclusion kama hii?

Hivi unawezaje kuwa na mapenzi na mwanamke/mwanamume ambaye ameamua kukuonesha wazi wazi kwamba anagawa/kugawiwa uroda nje?

Anyway...May be ndivyo mnavyoishi siku hizo, tofauti na sisi wa 1947!!

Babu DC!!
 
Ndio maana naipenda JayEfu, nimeshapata ma tactic mengine ya kuendesha shughuli za kipelelezi. Mimi bado naamini kuwa information is power...sikubaliani kabisa na wanaounga mkono kuwa ni bora usijue...napenda sana kuwa informed. Lol. Kwa sababu nina kifua cha kufanya maamuzi...

Hahahahahaha,

Umenichekesha sana nyumba kubwa!!!

Una hakika kwamba unacho kifua au unahisi kuwa unacho???

Babu DC!
 
Last edited by a moderator:
Story kama hizi zinatufanya tufikirie mara mbili mbili kuoa!!

.... kumbe na wewe unasumbuliwa na hizi story mkuu. Ikifika hapa nami huwa napata mawazo mengi sana juu ya hii kitu na hasa kwa wale ambao tunafungwa na mke/mme mmoja
 
.... kumbe na wewe unasumbuliwa na hizi story mkuu. Ikifika hapa nami huwa napata mawazo mengi sana juu ya hii kitu na hasa kwa wale ambao tunafungwa na mke/mme mmoja

Kumbe tuko wengi wa kufarijiana..............Lakini pia hata kama unafungwa na wake watatu bado tatizo liko palepale! unaonaje tukianzisha bachala club!!!!!!
 
daaa,we mkaree,ulisomea ushushushu MOSAD nini,hii technic yako ni superb,pole sana mjomba,that's hw life it iz,jipange upya,aluta continua,goodluck ulimstukia mapema na akajindoa mwenyewe,ndo maana mi nasemaga nikimfumania mke wng anagongwa laiv,nawatumbulia macho halafu natoka nje hata siwadhuru,utaona kiwewe watakachokipata,wyf mwenyewe atafungasa virago bila kufukuzwa halaf mm najifanya kushangaa tu
 
Kumbe tuko wengi wa kufarijiana..............Lakini pia hata kama unafungwa na wake watatu bado tatizo liko palepale! unaonaje tukianzisha bachala club!!!!!!

Mkianza kuchitiana huko kwenye bachala club mtaanzisha ipi tena?
 
daaa,we mkaree,ulisomea ushushushu MOSAD nini,hii technic yako ni superb,pole sana mjomba,that's hw life it iz,jipange upya,aluta continua,goodluck ulimstukia mapema na akajindoa mwenyewe,ndo maana mi nasemaga nikimfumania mke wng anagongwa laiv,nawatumbulia macho halafu natoka nje hata siwadhuru,utaona kiwewe watakachokipata,wyf mwenyewe atafungasa virago bila kufukuzwa halaf mm najifanya kushangaa tu

Ulivyojipanga utadhani unategemea kufumania.
 
Back
Top Bottom