Sikujua kama wenje ni kivuli kabisa...

Ameanzisha ugomvi na walioshindana nae kwenye kura za maoni mwanzasasa akienda mwanza anawatafuta wazee wachache na kujificha nao wanapanga mbinu za kuwamaliza wenzakealileta hoja ya kijinga sana kwenye cc ya chama eti, vijana fulani wafukuzwe chama ili wasimwangushembaya zaidi amekua kama masha, anagombana na hapatani na madiwani wake kama alivyokuwa masha,sasa ajiandae tu.Alitukana wazee wa kisumkuma eti waliomchagua ni vijana sio wazee.amehamia dsm na familia yake na kuwaacha watu solemba na akienda mwanza anapitapita mitaani tu na kujifanya anakula kwa mama ntilie kumbe anawaroga vijana wampende, ALIZUIA BAJETI YA MPANGO WA KUWASOMESHA WATOTO WA MWANZA, KISA YEYE ANA KAMFUKO KAKE KA KUWASOMESHA WATOTO YATIMA, NA HAWAPEWI WOTE NAFASI HIYO, ALIIPINGA KWA NGUVU ZOTE ILI APATE CHATI NA KA MFUKO KAKE.hahaaa amepotea kabisa au pengine amegundua harudi tena kugombea, lakini watu wanadai alichoahidi aache ujinga huu, uhamba wa kuhamia dsm ni wawajinga .Kanakunywa pombe kishamba sana, wakati wa kampeni aklikuwa kanajinadi kuwa kameokoka..kshnzi kabisa.NINAMSHAURI AACHE UGOVI NA MADIWANI NA VIJANA AMBAO NI WA MWANZA, TENA HATA SISI TUKIMALIZA MASOMO TUTAENDA MWANZA KUWAULIZA ALICHOKIFANYA, CDM ISMKUMBATIE MJINGA KAMA HUYU WATU WAMEKUFA KWA UJINGA WAKE NA ANAHAMIA DSM, NI UFA...LA KBISA.
Loh, imekaa kiuchokozi na kiubinafsi sana.
 
Ameanzisha ugomvi na walioshindana nae kwenye kura za maoni mwanza
sasa akienda mwanza anawatafuta wazee wachache na kujificha nao wanapanga mbinu za kuwamaliza wenzake
alileta hoja ya kijinga sana kwenye cc ya chama eti, vijana fulani wafukuzwe chama ili wasimwangushe
mbaya zaidi amekua kama masha, anagombana na hapatani na madiwani wake kama alivyokuwa masha,sasa ajiandae tu.
Alitukana wazee wa kisumkuma eti waliomchagua ni vijana sio wazee.
amehamia dsm na familia yake na kuwaacha watu solemba na akienda mwanza anapitapita mitaani tu na kujifanya anakula kwa mama ntilie kumbe anawaroga vijana wampende,
ALIZUIA BAJETI YA MPANGO WA KUWASOMESHA WATOTO WA MWANZA, KISA YEYE ANA KAMFUKO KAKE KA KUWASOMESHA WATOTO YATIMA, NA HAWAPEWI WOTE NAFASI HIYO, ALIIPINGA KWA NGUVU ZOTE ILI APATE CHATI NA KA MFUKO KAKE.
hahaaa amepotea kabisa au pengine amegundua harudi tena kugombea, lakini watu wanadai alichoahidi aache ujinga huu, uhamba wa kuhamia dsm ni wawajinga .
Kanakunywa pombe kishamba sana, wakati wa kampeni aklikuwa kanajinadi kuwa kameokoka..kshnzi kabisa.

NINAMSHAURI AACHE UGOVI NA MADIWANI NA VIJANA AMBAO NI WA MWANZA, TENA HATA SISI TUKIMALIZA MASOMO TUTAENDA MWANZA KUWAULIZA ALICHOKIFANYA, CDM ISMKUMBATIE MJINGA KAMA HUYU WATU WAMEKUFA KWA UJINGA WAKE NA ANAHAMIA DSM, NI UFA...LA KBISA.

Hiyo bluu inaonyesha upumbavu wako!
 
Acheni kutukana, hapo cdm mnaonekana hamna uwezo wa kjenga hoja, jibuni kama hajahamia dsm na sasa semeni mkewe na wanawe wanaishi wapi, je wamachinga anaowaambia wauze bidaa hadi misikitini wataishi katika maisha ya umachinga hadi lini, je nyie mnaijua mwanza/nyamagana au mnakurupuka tu, jibuni wenje ana nini alichoanza kuchora cha maendeleo ya siku zijazo acheni kushibikia tu mtaaibika.Subirini siku zifike tu muone wash...zi sana.

On the red: Kwa nini Mwanza ina wamachinga (achilia mbali the rest of the country). Nani alisababisha mpaka watu wanaanza kuuza vitu mpaka mbele ya msikiti kama unavyodai? Na lini wamachinga wameanza kuwepo Mwanza? ni baada ya Wenje kupata ubunge? CHADEMA wana halmashuari chache sana Tanzania, je kwenye halmshauri zingine zilizo chini ya vyama vingine hususan CCM kuna wamachinga? nao wanauza bidhaa mpaka msikitini kama tunavyoona huku Dar es Salaam?

If I had my way, ningewakusanya wamachinga wote Tanzania (wooote) na kuwaleta eneo la Magogoni wafanyie shughuli zao hapo. Tena waje na zana zao za kazi kama vile 'ancient' loud spika ili kuvutia wanunuzi. Pengine hii ingesaidia kukumbusha 'bahasha' za Jairo zinahitajika wapi!
 
Kanakunywa pombe kishamba sana, wakati wa kampeni aklikuwa kanajinadi kuwa kameokoka..kshnzi kabisa.

NINAMSHAURI AACHE UGOVI NA MADIWANI NA VIJANA AMBAO NI WA MWANZA, TENA HATA SISI TUKIMALIZA MASOMO TUTAENDA MWANZA KUWAULIZA ALICHOKIFANYA, CDM ISMKUMBATIE MJINGA KAMA HUYU WATU WAMEKUFA KWA UJINGA WAKE NA ANAHAMIA DSM, NI UFA...LA KBISA.

Ehe Namhala o-maono,

Uli ng'wanani ubebe?

Ka-thread kako kamenichekeshaga kweli kweli. Yaani kama ka-mjamaa(Wenje) kanakunywa pombe kishamba lakini wakti wa kampeni karikuwa kanajidai kameokoka basi kaongo kabisa hakafai ka Wenje!!!Tutamwambiaga Slaa akatimue chamani.
 
Jamani Mwanza hali sio shwari hata kama jamaa ana umbeya, niliwahi kusema kwetu sisi wengi tuna angalia kwa macho yetu kama mabadiliko hatuyaoni basi viongozi hatuna, matatizo yetu ya maji na barabara za mitaani, uzoaji wa taka bado yapo, ili tuweze kujua tuna viongozi lazima haya matatizo yaishe au tuone kwamba yanafanyiwa kazi, hayo ya machinga tu ni sehemu kubwa ya jinsi gani hawa viongozi tuliowachagua wametusahau na kujiweka mbele...kwa ndugu yetu kuhamia Dar kama ni ya kweli nadhani ni kukosa uzalendo kuikimbia nyamagana
 
Ameanzisha ugomvi na walioshindana nae kwenye kura za maoni mwanza
sasa akienda mwanza anawatafuta wazee wachache na kujificha nao wanapanga mbinu za kuwamaliza wenzake
alileta hoja ya kijinga sana kwenye cc ya chama eti, vijana fulani wafukuzwe chama ili wasimwangushe
mbaya zaidi amekua kama masha, anagombana na hapatani na madiwani wake kama alivyokuwa masha,sasa ajiandae tu.
Alitukana wazee wa kisumkuma eti waliomchagua ni vijana sio wazee.
amehamia dsm na familia yake na kuwaacha watu solemba na akienda mwanza anapitapita mitaani tu na kujifanya anakula kwa mama ntilie kumbe anawaroga vijana wampende,
ALIZUIA BAJETI YA MPANGO WA KUWASOMESHA WATOTO WA MWANZA, KISA YEYE ANA KAMFUKO KAKE KA KUWASOMESHA WATOTO YATIMA, NA HAWAPEWI WOTE NAFASI HIYO, ALIIPINGA KWA NGUVU ZOTE ILI APATE CHATI NA KA MFUKO KAKE.
hahaaa amepotea kabisa au pengine amegundua harudi tena kugombea, lakini watu wanadai alichoahidi aache ujinga huu, uhamba wa kuhamia dsm ni wawajinga .
Kanakunywa pombe kishamba sana, wakati wa kampeni aklikuwa kanajinadi kuwa kameokoka..kshnzi kabisa.

NINAMSHAURI AACHE UGOVI NA MADIWANI NA VIJANA AMBAO NI WA MWANZA, TENA HATA SISI TUKIMALIZA MASOMO TUTAENDA MWANZA KUWAULIZA ALICHOKIFANYA, CDM ISMKUMBATIE MJINGA KAMA HUYU WATU WAMEKUFA KWA UJINGA WAKE NA ANAHAMIA DSM, NI UFA...LA KBISA.
wewe kweli *****-umeijibalisha user name yako juzi(check join date yake) kuja kueleza masilahi yako binafsi-muangalie dogo anavyomwaga mambo leo
 
Mimi ni rafiki yake wa karibu na Wenje, wewe nakujua. Wenje ni waziri kivuli tena ni mjumbe wa kamati kuu lazima umheshimu. Wewe ni diwani wa Chadema ambaye unataka ubunge mwaka 2015 na wenje analijua hilo. Endelea muda si mrefu utawekwa hadharani. Au mwenyewe uko Dsm, unalalamika nini?
 
Acheni kutukana, hapo cdm mnaonekana hamna uwezo wa kjenga hoja, jibuni kama hajahamia dsm na sasa semeni mkewe na wanawe wanaishi wapi, je wamachinga anaowaambia wauze bidaa hadi misikitini wataishi katika maisha ya umachinga hadi lini, je nyie mnaijua mwanza/nyamagana au mnakurupuka tu, jibuni wenje ana nini alichoanza kuchora cha maendeleo ya siku zijazo acheni kushibikia tu mtaaibika.Subirini siku zifike tu muone wash...zi sana.
Kumbe mtu mwenyewe upo magamba!! Fia huko huko ulipo wala usirudi Mwanza kilaza wee...
 
hata kama anaishi ulaya au analala bar kitu cha msingi ni kutimiza ahadi zake. Afterall kunywa pombe sio zambi.
 
Acheni kutukana, hapo cdm mnaonekana hamna uwezo wa kjenga hoja, jibuni kama hajahamia dsm na sasa semeni mkewe na wanawe wanaishi wapi, je wamachinga anaowaambia wauze bidaa hadi misikitini wataishi katika maisha ya umachinga hadi lini, je nyie mnaijua mwanza/nyamagana au mnakurupuka tu, jibuni wenje ana nini alichoanza kuchora cha maendeleo ya siku zijazo acheni kushibikia tu mtaaibika.Subirini siku zifike tu muone wash...zi sana.
Acha ubwege mkuu,ulitaka wenje akuletee unga debe nyumbani kwako?sasa unataka familia yake ibaki mwanza wakati shughli zake anafanyia dar? Wewe una chuki binafsi,au umetumwa
 
Ameanzisha ugomvi na walioshindana nae kwenye kura za maoni mwanza
sasa akienda mwanza anawatafuta wazee wachache na kujificha nao wanapanga mbinu za kuwamaliza wenzake
alileta hoja ya kijinga sana kwenye cc ya chama eti, vijana fulani wafukuzwe chama ili wasimwangushe
mbaya zaidi amekua kama masha, anagombana na hapatani na madiwani wake kama alivyokuwa masha,sasa ajiandae tu.
Alitukana wazee wa kisumkuma eti waliomchagua ni vijana sio wazee.
amehamia dsm na familia yake na kuwaacha watu solemba na akienda mwanza anapitapita mitaani tu na kujifanya anakula kwa mama ntilie kumbe anawaroga vijana wampende,
ALIZUIA BAJETI YA MPANGO WA KUWASOMESHA WATOTO WA MWANZA, KISA YEYE ANA KAMFUKO KAKE KA KUWASOMESHA WATOTO YATIMA, NA HAWAPEWI WOTE NAFASI HIYO, ALIIPINGA KWA NGUVU ZOTE ILI APATE CHATI NA KA MFUKO KAKE.
hahaaa amepotea kabisa au pengine amegundua harudi tena kugombea, lakini watu wanadai alichoahidi aache ujinga huu, uhamba wa kuhamia dsm ni wawajinga .
Kanakunywa pombe kishamba sana, wakati wa kampeni aklikuwa kanajinadi kuwa kameokoka..kshnzi kabisa.

NINAMSHAURI AACHE UGOVI NA MADIWANI NA VIJANA AMBAO NI WA MWANZA, TENA HATA SISI TUKIMALIZA MASOMO TUTAENDA MWANZA KUWAULIZA ALICHOKIFANYA, CDM ISMKUMBATIE MJINGA KAMA HUYU WATU WAMEKUFA KWA UJINGA WAKE NA ANAHAMIA DSM, NI UFA...LA KBISA.

Kumbe JF inawapumbavu kama wewe?
 
Mimi ni rafiki yake wa karibu na Wenje, wewe nakujua. Wenje ni waziri kivuli tena ni mjumbe wa kamati kuu lazima umheshimu. Wewe ni diwani wa Chadema ambaye unataka ubunge mwaka 2015 na wenje analijua hilo. Endelea muda si mrefu utawekwa hadharani. Au mwenyewe uko Dsm, unalalamika nini?

mrema jiangalie sana, sio mimi niliyekufelisha chuo, ulidisco na sasa umekaa kupiga umbea hapo makao makuu na kura zako 2000 za ubunge..tuheshimiane sana.
 
Wenje yupo Dar na familia yake , wanakaa Mbezi Beach. Wana mwanza mmeliwa , ndio tatizo la kuchagua watu msio wajua na macheki bob

Teh teh teh teh teh ni Wenje au Kikwete anayekaa nje ya nchi siku 13 katika siko 30 za mwezi.KWELI WATANZANIA TUMELIWA.
 
Back
Top Bottom