Sikuamini jamani!!

Duh kweli hizi siku za mwisho.Ngoja niendelee kutubu dhambi zangu maana saa zile bwana harusi kuhudhulia karamu zinakaribia.

Ghafla hivyo! Kikwetu tunasema 'liwelelo'
Ila du ukiimagine, nyumbani anaitwa baba; inasikitisha!
 
Duh kweli hizi siku za mwisho.Ngoja niendelee kutubu dhambi zangu maana saa zile bwana harusi kuhudhulia karamu zinakaribia.
If I earned a shilling everytime I see a post like this I would a millionaire...
 
If u can't the
Jamani wana JF,Japo mtasema ni umbea ila ndo hvo tena.
Jana Jumatatu majira ya saa 9 alasiri,nimemshuhudia baba wa rafiki yangu kipenzi,ameshikwa kiuno na dume mwenzie wanaingia The A***UM Hotel,kwa kuwa me nilikuwa kaunta nakunywa hakuniona.
Najiuliza nimpashe best wangu au niuchune!
the best thing to do is nothing. If u want to interfere then try talking to the dad personally to see if he's gay or not, and figure out from there. Do NOT involve any1 else. if u can't do that then, do nothing.
 
Okay,Lasikoki.
Me ni KE' mtupu,tangu Utosi tu Unyayo,labda una shida zako za ki-fikra.
Kwani Gay na Lesbo hawana haki? Changia mada,kama huna fungua za mods wengne.
Kuhusu kwamba stori nimeitunga,yawezekama wewe aidha,hujawahi kwenda HOTEL au GESTI.

CONCLD: Niachie cont zako ili nikipata jambo nikutaarifu uje ili uamini kama matukio haya yapo.


UNA LA NYONGEZA?

toa upuuzi wako hapa,kojoa ukalale.
 
we mwambie tu rafikiyo, by the way kama kweli huyo dingi analiwa, atakuwa siyo babaake
note: ni vema ukatumia njia nyingine ambayo siyo direct yaani ionekane unknown person na sio wewe ndo katoa taarifa, this is in case umekosea mahesabu na dingi sio kama tunavyomfikiria
 
U could have mis-interpreted the situation...au kama unavyosema ulikuwa unakunywa basi possibly pia kinywaji ilikuathiri!
Ushauri::angalia usije ukatamani kuukata ulimi wako mwisho wa sikuu, bora ujikwae mguu kuliko ujikwae ULIMI
 
Atrium hotel hakuna counter na hawauzi pombe, ama ulikuwa unakunywa juisi jikoni?
NB: una undugu na madame x?
 
kama wwe ni mwanaume nakushauri achana na tabia hizi za kike kila unaloliona unataka kulisema. mangapi yanatokea na yanakuhusu hujaambiwa?? siku ukiambiwa na wwe baba yako kaliwa T*GO utafanyaje???
unaeza mwambia rafiki yako ukakuta stori anazijua mwanzo mwisho na katulia tu kama hajui vile utaficha wapi uso wako..

Kama wewe ni mwanamke nakushauri sometimes muwe mnajifunza kuwa na busara katika maamuzi ishu kama hizi hata hazitakiwi kuendeshwa na hisia zaidi cha msingi tumieni busara..
UNACHOULIZA HAPA SIO KUPATA USHAURI UNATAKA KUJUSTIFY UPUMBAVU WAKO TU kama kweli ni sahihi...

KAA KIMYA KABISA TENA USIZUNGUMZE CHOCHOTEE
tehe tehe tehe tehe umetishaje
 
Back
Top Bottom