... Sikua na ni mbaya "MODS"...

Ok, usrudie tena ricecoconut, unajua sisi mods samtaim inabidi tuchukue maamuzi magumu sana kwa ajili ya kulinda heshima ya jamvi. Na ukirudia tena basi tunakuban wewe na cafe unayotumia.
Asante sana
 
..."antimalaria"....ananipiga biti wakuu...
 
mi huo uzu sijauona waweza kuurudi kwa faida ya watu ambao hakufanikiwa kuuona ili tujue kama kweli una deserve kula BAN
 
Ok, usrudie tena ricecoconut, unajua sisi mods samtaim inabidi tuchukue maamuzi magumu sana kwa ajili ya kulinda heshima ya jamvi. Na ukirudia tena basi tunakuban wewe na cafe unayotumia.
Asante sana

hahahaha lawyer bana,mikwara miingi
 
Back
Top Bottom