... Sikua na ni mbaya "MODS"...

Mbona sisi tumezoea kula bann daily? Wacha woga wewe. Hlf kama hawajakugonga bann mda uleule basi they wont do.
 
Hiyo ya kuondolewa post yako ndio kadi ya njano ya MODS.
Kumbuka mchezaji anapewa nyekundu kwa kugusa mpira ndani ya boksi hata kama alikuwa na nia njema ya kuuzuwia mpira usimpige usoni.
 
...siirudii ile kitu itanikost....
...nashukur niko safe for now....
 
Back
Top Bottom