Siku zote nguvu ya umma huwa haishindwi

Anna Jordan

New Member
Apr 2, 2012
1
0
Tumeshuhudia ktk uchaguzi mdogo Arumeru jinsi nguvu ya umma ilivyofanya kazi kupata mbunge stahiki. Watanzania yabidi tujifunze kutoka jimbo la Arumeru mashariki kwamba hakuna kinachoshindikana pawapo na nguvu ya umma. kwajinsi hii, mabadiliko yatapatikana,
 
Back
Top Bottom