Siku za Nape kuvuliwa ngozi na Lowassa zinahesabika

Kikwete na Lowassa ni maswahiba daima, hivyo Nape kwa kupambana na mafisadi hasa hao 'mapacha watatu' (Lowassa, Rostam, Chenge) ni kama kupambana na maswahiba wa Mwenyekiti wake wa CCM.
Ni kama vile anatangulizwa kwa baiskeli ya mbao ili imwangushe njiani, wenzake wampite.
Achunge sana, Edo atakuwa anampimia tu...
 
Siku zake za kukimbilia Sudani ya Kusini yeye na yule mropokaji mwenzake Makonda zinahesabka sasa.
 
Back
Top Bottom