Siku za muungano zinahesabika, Tanzania bara itaitwaje ukivunjika?

Nje ya muungano hakuna Zanzibar muungano ukivunjika zitatoka nchi tatu Tanganyika, Unguja na Pemba.

Natamani muungano uvunjike hata leo.

Kumbe watu waliowekewa vichwa vya nazi Tanganyika wapo wengi! Na hawa ndio wanakuja kua Maraisi wa kesho na kesho kutwa!
 
je tanzania bara italirudia jina la tanganyika au itaitwa vipi?
MIMI MTANGANYIKA BANA. FULL STO.
jina "TANGANYIKA" halisound gud, ila kwa upande wangu ningesuggest uanzishwe mchakato wa kurename upya hii tanzania bara kma ilivyofanyika miaka hiyo ya nyuma ktk kupatia jina huu muungano wa sasa ambapo jina tanzania lilipatikana.[/QUOTE]

Ulikataa jina la baba yako ulipopata akili?
 
muungano ukivunjika kutokana na articles of union mali yote ya jamhuri ya muungano itagawia 50% by 50% kati jamhuri ya watu wa zanzibar na jamhuri ya watu wa Tanganyika

Aaah,basi hiki ndicho wanachokihofia Wabara na kuwatia hamasa wazanzibar kuuvunja muungano.
 
Mimi hata leo nataka tuvunje huo muungano,sijawahi kuona faida yake toka nizaliwe

kweli ndugu,hebu fikiria tutawauzia umeme,chakula,kodi kutumia bandari hahahaha na kingine silaha mana watahitaji sana risasi za kule mzinga morogoro, jaman wazanzibar tunawanyonya kwel kwel,ng'ang'anieni nch yenu tupate faida kiuchumi tehe tehe tehe
 
Nje ya muungano hakuna Zanzibar muungano ukivunjika zitatoka nchi tatu Tanganyika, Unguja na Pemba.

Natamani muungano uvunjike hata leo.

Hapo ndipo wazenji na u-much know wao watakapomkumbuka Mwalimu! Hata ng'ombe hawezi kujua umuhimu wa mkia hadi siku utakapokatwa!
 
muungano ukivunjika kutokana na articles of union mali yote ya jamhuri ya muungano itagawia 50% by 50% kati jamhuri ya watu wa zanzibar na jamhuri ya watu wa Tanganyika

na deni la taifa je?
 
Tanzania?
Tanganyika?
Au tutafute jina lingine maana tutakua tumezaliwa upya?
Kama ndiyo unapendekeza jina gani??.
Kwa upande wangu naona kama majina hayo hapo ju,yote yana laana.
 
laana ya nani?
kwanza laana ni kitu gani?
binafsi napendekeza nchi iwe na maendeleo sio kuwa na jina.
 
Huu muungano hauvunjiki kirahisi hivyo ndugu yangu kwa hiyo hili jina la Tanzania bado lina muda mrefu sana wa kutumika. Badala ya kufikiria jina la kufikirika litalalopewa nchi yetu ni vyema tukajadili mikakati ya kupambana na hawa mafisadi ili waondoke tuanze kuijenga nchi yetu pendwa iondokane na umaskini ambao kimsingi ndio chanzo cha baadhi ya wenzetu kudai kuvunja muungano.
 
Back
Top Bottom