Siku yako ya kwanza kucheat ulimtazamaje mwenzi wako?

Kwakweli labda sijamuelewa, kuwa kuna mtu anaweza ku-cheat asikose sababu? Kila mtu anaona sababu yake ni ya muhimu ku-justify alichokifanya.
Na kuwa ukishaanza huwezi kujutia ukaacha? Pia, ni vema kufanya kile moyo wako unakipenda regardless ni kibaya-''kujipa raha siyo'' na sikamatwi (uzembe) basi nitaendelea kufanya kosa maana linadumisha ndoa? Siku ukikamatwa basi hapo ndo litakuwa kosa na waatu kukunyoshea kidole ni halali.
 
Kwakweli labda sijamuelewa, kuwa kuna mtu anaweza ku-cheat asikose sababu? Kila mtu anaona sababu yake ni ya muhimu ku-justify alichokifanya.
Na kuwa ukishaanza huwezi kujutia ukaacha? Pia, ni vema kufanya kile moyo wako unakipenda regardless ni kibaya-''kujipa raha siyo'' na sikamatwi (uzembe) basi nitaendelea kufanya kosa maana linadumisha ndoa? Siku ukikamatwa basi hapo ndo litakuwa kosa na waatu kukunyoshea kidole ni halali.
let me tel u one thing, kwa sisi tuliokomaa akili nakuishi kwenye ndoa zetu muda mrefu, hata ukimfumania mke/mume wala hamuachani, ila mnawekana chini kuulizana tatizo ni nini hata mmoja katoka nje ya ndoa! ukiangalia mengi mliyofanya pamoja, furaha, magumu mliyopitia, pengine mna watoto, mali mlizochuma pamoja, faidi za kwenye ndoa ni nyingi so mambo mengine madogo madogo mnafumbiana macho! binafsi sitarajii kumfumania mume kwa kuwa sina tabia na wala sina mpango wa kumfuatilia fuatilia mambo yake, tunajaribu kupeana uhuru wa kutosha!
 
muhanga; let me tel u one thing, kwa sisi tuliokomaa akili nakuishi kwenye ndoa zetu muda mrefu, hata ukimfumania mke/mume wala hamuachani, ila mnawekana chini kuulizana tatizo ni nini hata mmoja katoka nje ya ndoa! ukiangalia mengi mliyofanya pamoja, furaha, magumu mliyopitia, pengine mna watoto, mali mlizochuma pamoja, faidi za kwenye ndoa ni nyingi so mambo mengine madogo madogo mnafumbiana macho! binafsi sitarajii kumfumania mume kwa kuwa sina tabia na wala sina mpango wa kumfuatilia fuatilia mambo yake, tunajaribu kupeana uhuru wa kutosha!
Unamaanisha nini unavyosema kukomaa akili? Wenye akili ambazo hazijakomaa ndo hawacheat? Hivi uaminifu katika ndoa una umri maalum? Na sidhani kuwa cheater pia kuna umri maalum. Kama unalijuwa hilo kuwa kuna furaha na magumu mmeyapitia pamoja kwani sasa ndo usizidishe upendo kwa mumeo kuliko kuendelea kumvulia mwanaume mwingine huko nje, au ndo wote mmechokana bora miaka iende muonekane tu ni mume na mke? Kwa kukusoma ndani ya mistari hapo kwenye red naweza kusema ''Hamu ya mapenzi kati yenu ilishapungua'' na hamna mpango wowote wa kuwasha tena mshumaa. Poleni!!
 
usiseme hivyo ndugu yangu juzi kamkuta mke wake na mwanaume ndani tena kitandani kwao wanafanya mapenzi ndoa changa ya ya miezi mitano.hicho kipigo alichopewa sijui kama atapona na akipona hapo
Aisee so painful
 
unamtazama kawaida tu, kwani yeye ndo alikuwa wa kwanza?? ili hali amenikuta nishakuwa double road sasa nini cha ajabu hapa.
NDIO MAANA TUNAPREFER NI BORA UOE BIKRA...HII MITANDABUI IACHE IGONGWE NA MAKAHABA WENZAO...

UKIWA HUNA BIKRA...HUNA HAAYA...ETI UNAMWANGALIA KAWAIDA TU ..
 
Back
Top Bottom