Siku ya Wanawake Duniani: Umeshiriki vipi kupunguza haya?

Ashura9

JF-Expert Member
Oct 21, 2012
739
484
March 8 ni siku ya kusherehekea siku ya wnawake duniani, lakini Tanzania kumekuwa na ukithiri wa unyanyasaji wa wanawake na watoto. Wadau mbalimbali wamesema kumekuwa na ongezeko la unyanyasaji katika haya
1. Ilawiti wa watoto wa kiume mashuleni, barabarani, waendesha bodaboda, bajaji, dreva taxis, gengeni na sehemu zingine nyingi watoto wanamopita
2. Ubakaji wa watoto wa kike
3. kupiga na kujeruhi kwa silaha kinamama na wanawake majumbani/kwenye ndoa
4. Ukeketaji
5. n.k.

Na kama kuna muhusika wa wanaofanya vitendo hivi anasoma huu uzi, ni wakati wa kubadilika sasa dunia imebadilika na wewe badilika

Je ukiwa kama mdau umeshiriki vipi kutokomeza ukatili huu?
 
Watoto wangu wote na hasa wa kike nawapa elimu kwenye shule bora sio shule za kata
 
Yes inabidi sisi sote kama wazazi au ndugu na jamaa tuelimishe watoto wote kuhusu hili suala na jinsi ya kujilinda na kuripoti kesi yoyote ya kuguswa
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom