siku ya wajinga

hata uchaguzi wa arumeru mashariki umedondokea FOOLS DAY.sasa tume ijikute inaleta utani kama hawajachinjwa na wameru
 
habari zenu wana jamvi?? Leo nimetafakari sana kwanini siku ya wajinga iwe ni tarehe 1 april? Ni jambo gani uliwahi kudanganywa miaka iliyopita katika siku ya wajinga na huwezi kulisahau?

Jamani! WATANZANIA TUMETAFSIRI Kiingereza vibaya!! FOOLING DAY maana yake SIKU YA KUDANGANYA na siyo SIKU YA WAJINGA!! i.e. sio FOOLS' DAY!! Fooling na fools (foolish people) are two distinct phenomena.
 
watu tushazoea bwana!
 
Back
Top Bottom