siku ya wajinga

Mchochezi

JF-Expert Member
Feb 29, 2012
10,414
6,576
habari zenu wana jamvi?? Leo nimetafakari sana kwanini siku ya wajinga iwe ni tarehe 1 april? Ni jambo gani uliwahi kudanganywa miaka iliyopita katika siku ya wajinga na huwezi kulisahau?
 
Nadhani hii ipo kwa waafrika tu na siyo wenzetu weope huko ndo maana mpaka wajinga wanapewa siku yao na sidhani kama kumdanganya mtu na kufanya kile ulichomdanganya kuwa yeye ni mjinga hilo siyo kweli hata kidogo bali aliyemdanganya ndo ninaemchukulia ndo mjinga
 
Mimi mwaka jana kuna rafiki yangu aliniambia nimkopeshe laki moja mama yake amelazwa. Nilipompa hela akacheka na kuniambia mama yake wala haumwi ila ameniongopea kwa vile ni siku ya wajinga.Nilipomwambia arudishe hela yangu alikataa na kuniambia eti mjinga harudishiwi pesa.Hajanirudishia mpaka leo.
 
duh pole saaaaana jamaa amekuona we ni mjinga kweli...sijui ya mwaka huu atakudanganya nn??

Mimi mwaka jana kuna rafiki yangu aliniambia nimkopeshe laki moja mama yake amelazwa. Nilipompa hela akacheka na kuniambia mama yake wala haumwi ila ameniongopea kwa vile ni siku ya wajinga.Nilipomwambia arudishe hela yangu alikataa na kuniambia eti mjinga harudishiwi pesa.Hajanirudishia mpaka leo.
 
that's true mkuu

Nadhani hii ipo kwa waafrika tu na siyo wenzetu weope huko ndo maana mpaka wajinga wanapewa siku yao na sidhani kama kumdanganya mtu na kufanya kile ulichomdanganya kuwa yeye ni mjinga hilo siyo kweli hata kidogo bali aliyemdanganya ndo ninaemchukulia ndo mjinga
 
Hiyo siku hata ingekuwa tarehe 9december bado tu watu wangehoji kwanini imekuwa tarehe hiyo.
 
mwaka siku hii imeahiriashwa, badala ya kuwa tar 1 april itakuwa tarehe 7 august, tafadhali usihoji kwa nini............
 
Mimi mwaka jana kuna rafiki yangu aliniambia nimkopeshe laki moja mama yake amelazwa. Nilipompa hela akacheka na kuniambia mama yake wala haumwi ila ameniongopea kwa vile ni siku ya wajinga.Nilipomwambia arudishe hela yangu alikataa na kuniambia eti mjinga harudishiwi pesa.Hajanirudishia mpaka leo.

Mpeleke polisi ndio atajuwa yeye ndio mjinga.
 
sasa kesi ishafikisha mwaka polisi sidhani km wataikubali hiyo

Nimekoma na kuanzia sasa nitaiheshimu sana hii siku.kuanzia mwaka huu nimepanga sikukuu ya wajinga nimeamua kufanya yafuatayo ili nisionekane mjinga. 1.Nitazima simu yangu kwa siku nzima. 2.Sitafungua Facebook, Twitter, jamii forums au mtandao wowote wa kijamii. 3.Sitasoma Gazeti la aina yeyote liwe la udaku,siasa au Michezo. 4.Sitafungua Radio Station yoyote 5. Sitafungua TV station yoyote. 6.Sitakuwa tayari kupewa taarifa yoyote ile hata ikiwa ya msiba. HUU NDIO MSIMAMO WANGU.
 
....mie nimepanga kumfool mpenzi wangu kwamba "niko na mwanamke mwingine guest nachakachua" coz yuko mbali na nilimiss mapenzi....
I thnk that will b the best..
 
Back
Top Bottom