siku ya sheria nchini

Werankira

Member
Oct 31, 2010
7
4
ni kwelph mahakama ni muhimili wa dola ambao ndio una wajibu mkubwa wa kutoa haki kwa jamii.. najiuliza mahakama itatekelezaje wajibu huo wakati yenyewe haipo huru? uwepo wake unategemea serikali muhimili mwingine wa dola.. mahakama ipo chini ya wizara ya sheria kwa mujibu wa sheria.. tupiganie mahakama huru kwa kuleta mapinduzi ya katiba.. tuamke watanzania!
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom