Siku ya mtihani kila mbinu hutumika,....!!

Kisoda2

JF-Expert Member
May 30, 2008
2,475
745
Kuna jamaa yangu alikuwa akisoma pale Ikizu.
Siku ya mtihani aliandika mistari yake ya majibu kwenye FAN lile la (panga boi) usawa na kiti chake,kisha akawa anapigia chabo kujibu mtihani.
Kituko ni pale alipo kuja msimamizi na kuiwasha FAN maana alikuwa anasikia joto!!

Happy new year!!!!
 
Back
Top Bottom