siku ya malaria...tujifunze kupeleka kwa fundi VYANDARUA vyetu

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
kiukweli net yangu imepasuka mbaya...saa ingine naamka mguu uko nje...
kwa kuadhimisha siku ya malaria,nimeamua kuipeleka kwa fundi kuishona...be honest,net yako ni nzima?

malaria haikubaliki...hii sio kwa hisani ya watu wa marekani...
 
khaaaaaa....
Chandarua changu kina matundu usipime......

acha iyo kitu...kwakua ile kitu iko chumbani...wallah tukiambiwa tutoe nje...duh...kwanza ni chafu mbaya...afu zimechanika ile ile...
 
Hii hali kiutaalamu tunaiita moskwito net metamophosis, ni mbaya sana kwa afya zetu
 
Mimi kilikuwa kimechakaa balaa, kila siku asubuhi nakutana na mbu wameshiba balaa ndani ya chandarua. hivi sasa nalala bila net.
 
Mimi kilikuwa kimechakaa balaa, kila siku asubuhi nakutana na mbu wameshiba balaa ndani ya chandarua. hivi sasa nalala bila net.

afadhali Katavi...ulikua unajinyima pumzi tu...
 
Last edited by a moderator:
Mimi kilikuwa kimechakaa balaa, kila siku asubuhi nakutana na mbu wameshiba balaa ndani ya chandarua. hivi sasa nalala bila net.

Kwa hiyo hata ile ngao inawekwa kwa hisani ya jamaa wale haikufaa...duh hongera Katavi
 
Last edited by a moderator:
Lala mtoto,Lala mtotoo,
Ndege wote wamelala,
Lala mtoto.

Malaika hao wema wakulinde,
Wakutunze, wakusimamie,
Na sisi wazazi, tutakulinda
Na chandalua chenye dawa,
Lala mtoto.
 
Back
Top Bottom