Siku ya kweli aliyokufa Mwl J K Nyerere

Nyerere kafariki, hatunaye tena duniani since oct 1999 KWISHA! Kuanza kujadili mara ooh tarehe sio, ooh hakufa bali kauawa, haisaidii ni kupoteza muda bure! wengine watakuja na POROJO hapa et alikuwa freemasonic member! so that the devils wamemchukua hivyo hajafa bado! HUKU NI KUMDHALILISHA KIONGOZI WETU SHUPAVU! TULIKUWA NAE, AKATANGULIA MBELE YA HAKI, TUKALIA NA SASA CHENYE WAJIBU KWETU NI KUYAENDELEZA MAZURI ALIYOTUACHIA!
 
Hahahhah unajua nn wanaojua siku alikufa ni madaktari zake,mlinzi,mkapa etc wengine wote hatujui sisi tumechukua tu kwa sababu tusingeweza kujua kwani tukikuwa tz

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Nyerere kafariki, hatunaye tena duniani since oct 1999 KWISHA! Kuanza kujadili mara ooh tarehe sio, ooh hakufa bali kauawa, haisaidii ni kupoteza muda bure! wengine watakuja na POROJO hapa et alikuwa freemasonic member! so that the devils wamemchukua hivyo hajafa bado! HUKU NI KUMDHALILISHA KIONGOZI WETU SHUPAVU! TULIKUWA NAE, AKATANGULIA MBELE YA HAKI, TUKALIA NA SASA CHENYE WAJIBU KWETU NI KUYAENDELEZA MAZURI ALIYOTUACHIA!

Acha uvivu, fikirisha ubongo
 
Ukweli hauwezi funikwa siku zote. Ni kama kuuzuia moshi kwa kawa.

Kama vile kuvuja kwa taarifa za mipango na utekelezaji wa kumwua Nyerere kulivyokuwa, kisha kuibukia 2012 kwa uwazi zaidi. Ndivyo tarehe rasmi ya kufariki inapojulikana.

Nyerere alifariki tarehe 7 Oktoba 1999.

Tarehe nyingine ni danganya toto. Ukweli unasema, huwezi kuwadanganya watu wote kwa nyakati zote. Ndicho serikali iliyoongozwa na B W Mkapa ilichofanya.

Source please
 
Wachangiaji wengi tumetawaliwa na emotions and other critics lakini ukweli lazima ujadiliwe kwa hoja jadidi na uwekwe wazi,sijui tarehe aliyokufa mwalimu lakini sio octoba 14,sina haja ya kusema kwa nini sikubaliani na hiyo tarehe kwasababu yapo mengi yanayoashiria hiyo tar siyo ya kweli.ni maoni yangu tu lakini.
 
Sina shida na tarehe rasmi ya kufariki kwa baba wa taifa bali nina shida kama ni kweli tunamuenzi Nyerere kwa vitendo?
 
KOMBESANA hapo umenena

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Matukio tata kabla ya Kifo chake kutangazwa:
Barabara ya kutoka Mgulani JKT na ya uwanja wa taifa hadi keko zilitengenezwa usiku wiki moja kabla kifo chake kutangazwa rasmi. Kigunge alipotoka Uingereza (kabla ya kifo kutangazwa) alikwenda moja kwa moja Butiama.
 
Mtatoa povu sana mwaka huu ila ukweli ndo huu RIP DIKTETA

We Pukudu ushavuta mabhange yako unaleta upuuzi wako humu.
Peleka upuuzi wako huko kwenu Pemba kwa wauaji kina Karume.
Shenzy Taipu!
 
Jamani haya ni mambo magumu sana na siyakuzungumza kirahisi tujaribu kuajadili mambo yatakayo tusaidia. Kupoteza muda kwa hasara ni kukosa hekima.watanzania sasa tuombeni hekima kwa mungu tujaliwe kama mfalme seleimani!!!!!
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom