siku ya kwanza

jamani nina swali kwa wakaka wa kibongo na wadada pia.
i met a man(white) going to marry soon, ila siku ya kwanza in bed alishindwa kusimamisha kabisa, tukaishia ku kiss tu na kuchezeana, i was satisfied though coz he so intelligent by using his hand. next days he was so good japokuwa kama mnavyojua hizi za wenzetu wadhungu hazirefuki sana kama za weusi.nilipomuuliza huyu jamaa akasema hajakuwa comfortable at the first met.
kabla ya hapo nilishasikia masholi wawili watatu(white chicks) wakiongelea the same story kwamba wameenda na mtu kwa mara ya kwanza ikashindwa kusimama, nilikuwa siamini hii mpaka yaliponikuta.
he is not my first, nilikuwa na wabongo wenzangu kama wawili kipindi cha nyuma, na siku ya kwanza kukutana nao damu ilikuwa inachemka ile mbaya, wako ngumu kama kisiki cha mpingo.
swali ni hivi, jamani kuna wanaume wakibongo ambao wame experience hii kitu? i mean kuna mtu alishawahi kwenda na sholi kwa mara ya kwanza akashindwa kusimama? na kwa wanawake je ilishawahi kukutokea ukaenda na mtu akashindwa kazi? awe mweusi au mweupe.

Too much information....? siku ya kwanza that means kulikuwa na siku ya pili na ya tatu...... yani ur problem is solved
 
Mi jamani mi nina ugonjwa mmoja. Nisipovaa kyupi labda niko hom basi nikitoka tu nje chujio huchachamaa hadi nashindwa kurudi ndani. Nikipanda dala2 na mdada akanigusa na makalio maeneo inakuwa taabu. Huwa nawakwepa sana wasiniguse

inabidi uwe na gari yako mkuu,
 
jogoo kuwika au la inategemeana na hali ya kisaikologia ya dume. hivyo hata siku nyingine akiwa uncomfortable jogogo atakususia. pili, kutokana na umahiri wako wa kubadili midume, bila shaka umeharibika huko kunako ndio maana huyo white wako akamaindi.
 
dah huyo ana mambo yake mwenyewe ya kutosimamisha, Mie kuna siku nilimpata demu tukapanda naye daladala kuelekea kwenye gemu, nilikuwa nimevaa suruali ya kitambaa, mzee kawika kinoma mpaka demu akapata wasiwasi siku hiyo anaenda fanyiwa nini! Maana alikuja kuniambia siku nyingine kuwa siku ile ya kwanza aliogopa sana maana kila akiangalia kunako anaona jogoo lipo juu akajua siku hiyo kazi ataiona
 
Aziniye na mwanamke hana akili kabisa anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake
 
aziniye na mwanamke hana akili kabisa...................... ngoja kwanza niefikirie nisije nikaishia kwenye jibu lako


B wewe....kuzini ni nini kwanza///labda tuanzie hapo....:focus:
 
aziniye na mwanamke hana akili kabisa...................... ngoja kwanza niefikirie nisije nikaishia kwenye jibu lako
Huyu jamaa anawabania, hataki tuzini na nyie eti! Sasa sijui tuzini na madogi? Me I don knoo kabisa asee:tape:
 
Back
Top Bottom