....siku ya kwanza...

Hahaha kwani we judgement siku ya kwanza kuiona ilikuaje?

Ni kama ulivyojibu wewe hapo juu!
Jibu lako ndiyo langu, labda hapo kwenye kulia ndiyo tunaweza kutofautiana, mie hua sitokwi tears even if am cryin'
wewe je ?
 
kinachoongelewa hapa sijakiona amy. Mzima wewe? Mpatanishi anakutafuta.

Mi mzima mwaya, halafu kinachoongelewa hapa nimekiona ila kinatisha kidogo bora hujakiona!
Mpatanishi utamuweza basi, kashindwa masharti sijui katokomea wapi!
 
Usimtishe mwenzio wakati wewe udenda ulikutoka
 
Mi mzima mwaya, halafu kinachoongelewa hapa nimekiona ila kinatisha kidogo bora hujakiona!
Mpatanishi utamuweza basi, kashindwa masharti sijui katokomea wapi!

ndio shemeji yangu yule eeh!
 
kinachoongelewa hapa sijakiona amy. Mzima wewe? Mpatanishi anakutafuta.

Kwa vile bado unakiri hujakiona kiongelewacho hapa , hivyo vionekanavyo kwa mpapaso ndiyo kabisaa ! Hata ukipapasishwa hutoviona.
 
Back
Top Bottom