....siku ya kwanza...

Wacha nirudi tena tumboni kwa mama TaiJike nikitoka utapata jibu.
 
usihofu huyu ndugu yangu bila PM siku haiendi vizuri
We Kabakabana mbona unanipa madongo aisee??? Tatizo Mtu Chake hajawa muwazi kwenye swali lake so lazma lizingue....
Ila nshamuelewa...ngoja nampa jibu sasa hivi
 
tuanzishe basi sredi zenye akili!!kha. hatupo fb hapa.

hapa ni JF Chit Chat

We Kabakabana mbona unanipa madongo aisee??? Tatizo Mtu Chake hajawa muwazi kwenye swali lake so lazma lizingue....
Ila nshamuelewa...ngoja nampa jibu sasa hivi

Nakusubiria
 
Back
Top Bottom