mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 626
Wakuu siku ambayo ccm itaondoka madarakani na kuwa chama cha upinzani, Je utafanya nini kwa furaha?
Binafsi siku hiyo kwanza sitaenda kazini....pili nitavua nguo zote mchana kweupee na kubaki kama nilivyozaliwa
kisha nitazunguka kwa kukimbia nyumba ninayoishi mara 3 kama chizi hivi.....tatu jioni ya siku hiyo hiyo nitaenda
kulala kwenye nyumba ya ibada hadi asubuhi huku nikimshukuru mungu wangu.
Je, wewe mwenzangu utafanya nini kwa furaha panapo siku hiyo?