Elections 2010 Siku ya historia siku ya kukumbukwa

Chona

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
523
360
Ikiwa ni tayari saa 6 usiku na ni tarehe 31 october 2010. Ni siku iliyosubiliwa kwa hamu kubwa ili watanzania wafanye mabadiliko makubwa. Mabadiliko yatakayo kumbukwa na vizazi vijavyo kwa watakao fuatilia ukombozi na maendeleo ya taifa ili. Ni siku ambayo watanzania walisema sasa imetosha tunataka mabadiliko. Kwamba tulipotea njia baada ya Nyerere sasa tumeiona na kuirudia njia yetu na kuendelea na safari tulioianza mwaka 1961 na kupotea njia mwaka 1985. Lakini kuanzia 2005 tulitumbikia shimoni kabisa na sasa tumetoka. Ni siku itakayo kumbukwa kwamba watanzania hawakuogopa tena polisi na magali yao ya maji ya kuwasha pamoja na vitisho ila waliwahukumu CCM kwa kutowachagua.
Kwamba ni siku ambayo ule wimbo wa CCM ina wenyewe na wenywe ndo sisi (YAANI WALE AMBAO WAKIIBA MABILIONI YA PESA ZA UMMA, RAIS ANAENDA MAJIMBONI KWAO NA KUWATANGAZIA WANANCHI KUWA WALE NI WATU SAFI, HODARI NA WACHAPAKAZI). Kama unadhani na wewe umo kwenye hiyo CCM ina wenyewe jaribu kuiba hata kuku wa jirani yako mwenyethamani ya sh. 3000 uone hatua itakayo chukuliwa juu yako. Kwa hiyo wanapoimba kuwa CCM ina wenyewe sio kila mtu yumo humo. Waliomo nimewataja sifa zao hapo juu .
Ni siku ambayo walioinyonya nchii hii kwa muda mrefu hawataisahau kwasababu licha ya jeshi kujipanga sana lakini nguvu ya umma iliamua kwa kauli moja kuwa sasa basi tunamtaka Dr. Slaa kuwa rais. usiku huu nasubilia muda niende nikapige kula ili siku nyingine nilale kwa amani zaidi. SLAA 4 CHANGES, THE CHANGES WE CAN TRUST. SLAA Gooooooooooooo!
I have a dream where by the sons and daughters of this country will not be seggegated (in schools and colleges/Universities) by the wealth of their parents but by the power of their knowledge they have in their brain. That people of all races will be given the service at the hospital before being asked to contribute. That the workers are much respected like the MP's and ministers. That people will understand the real meaning of democracy which say .... the government of the people for the people........not few!!!
God bless Tanzania.
God bless Afrika
God bless Dr. Wilbroad Peter Slaa

Say CCM no more.
 
say it again !!! i cnt hear you
 
Back
Top Bottom