Siku ya hasira tanzania-sihata

Technician

JF-Expert Member
Mar 30, 2010
841
222
Wana-Jamiiforum Members and guests,nashauri iwepo siku ya HASIRA Tazania ili tuweze kuwaweka viongozi wetu kwenye mstari kipindi hiki cha mageuzi ya kiuchumu tuendane na soko huria na utandawazitusije achwa wazi bila chupi na mataifa ya Jirani kama Burundo,Rwanda na Uganda.
Hata Somalia watatupita muda si mrefu.
 
Back
Top Bottom