siku ya 7 leo mwanza tabu tupu

Wizzo

JF-Expert Member
Nov 28, 2010
723
255
hivi jiji kama mwanza lenye ziwa mjini linakosa maji jiji zima? Leo ni siku ya 7 hakuna maji jiji zima la mwanza,sijui nani alaumiwe? Jamani viongozi wa mwanza embu fanyeni mpango wa maji hii ni hatari
 
poleni mkuu...na kwa style ya uongozi katika nchi hii siku hizi sitoshangaa nikisikia hili nalo linahitaji liundiwe kamati teule ya wabunge wa mwanza kuchunguza.
 
yani mi sielewi tumlaumu nani? Mbunge au mkuu wa mkoa au waziri?
 
Back
Top Bottom