siku uhuru kenyatta alipofunga ndoa na mke wake,zamani sana

Tatizo wanawake wengi mkishaolewa unajiachia sana na kujisahau. Angalia sasa first Lady anaonekana kama Shangazi yake Uhuru! Kha. Badlikeni bana....
 
Tatizo wanawake wengi mkishaolewa unajiachia sana na kujisahau. Angalia sasa first Lady anaonekana kama Shangazi yake Uhuru! Kha. Badlikeni bana....

Acha usamba, wanawake 98% wakiisha zaa wanabadirika maumbo yao, hawawezi kubaki kama wasichana. Hivyo ndivyo walivyo umbwa na Mwenyezi Mungu!
 
she is cute and so down to earth, well mannered hata kwa kumwangalia tu machoni.
 
Back
Top Bottom