Siku salama na hatari kwa mwanamke yaani menstruation cycle

NAOMBA MSAADA KUHUSU PERIOD YA MWANAMKE JE??? NTAWEZAJE KUJUA SIKU SALAMA NA ZA HATARI KWA MWAANAMKE?????????
Ndio inawezekana, chukua ndizi mbichi, zimenye kisha zionshe kwa maji safi na baridi.
Baada ya hapo zichemshe kwa muda wa nusu saa, kisha weka nyama au Samaki iliyokwisha pikwa ikaiva, katika katia nyanya na kitunguu, viache vichemke kwa pamoja kwa muda wa robo saa, kisha pakua mpe ale, we mpe ale ale ale ale, mmiminie na juisi glas moja, ikifika kesho yake yupo vizuri na hana njaa, basi ujue alikuwa vizuri siku ya jana.
 
Ndio inawezekana, chukua ndizi mbichi, zimenye kisha zionshe kwa maji safi na baridi.
Baada ya hapo zichemshe kwa muda wa nusu saa, kisha weka nyama au Samaki iliyokwisha pikwa ikaiva, katika katia nyanya na kitunguu, viache vichemke kwa pamoja kwa muda wa robo saa, kisha pakua mpe ale, we mpe ale ale ale ale, mmiminie na juisi glas moja, ikifika kesho yake yupo vizuri na hana njaa, basi ujue alikuwa vizuri siku ya jana.
HAMNA MAANA YA KUFUNGUA UZI HUU PEOPLE NT SRIOUS
 
Siku salama itakufaa ila si H.I.V
1478925717474.jpg
 
Siku hatari na si salama kwa mwanamke ni siku ambazo mwanamke anakuwa na hamu sana ya kufanya mpenzi muda wote,ukiona dalili hizo juakuwa mpenzi wako yuko danger zone na hapo ndipo mimba hutokea
 
kisheria yai huchukua siku kumi na nne kutengenezwa toka siku ya kwanza ya kupata hedhi. pia linaweza kuishi siku tatu na mbegu za kiume zinaweza ishi siku tatu. kwahiyo toka siku hedhi inaanza siku ya 14 ndiyo hatari zaidi. lakini mkifanya ngono siku ya 11 sperm zinaweza kuishi na kulikuta yai siku ya 14. hicho kinafanya siku ya 11-14 kuwa hatar. pia yai likitoka siku ya 14 linaweza kuishi siku 3. hivyo siku ya 14-18 zinakuwa hatari.

kwa hiyo siku hatari ni ya 11-18 ukihesabu kuanzia siku ya kwanza umepata hedhi.
 
hakuna,siku salama kwa mwanamke, siku zote ni hatari piga kavu mpeane mimba dawa tumia Condom
 
Kawaida yai limekuwa full developed after 14 days from day 1 ya m.c so Kwa maana iyo day 1 mpaka day 5/6 she is in bleeding still asa baada ya hapo day 6 mpaka day 12/13 ni safe days hapa mwanamke hapat mimba baada ya hapo kuna izi siku day 12/13 to day 18-20 hizi ni danger days hapa percent ya mwanamke kupata mimba ni 99.99℅ the baada ya hapo she is back in safe days again mpaka Ile day 1 ....... Brother u gotta be careful it's not a 100℅ guarantee method ya kutopeana mimba couz day hazipogo stable Kwa mwanamke due to change of mazingra ,weather,diet Na vitu vingine.....xo u be careful dogo
 
Inategemea huyo mtu anacycle ipi kuna cycle ndefu kuna normal pia kuna cycle fupi ukishajua uko group lipi ni rahisi kujua siku Salama na za hatari

Na kama siku zake zinabadilika maana hazipo stable mfano mwezi huu zinapanda labda siku tatu na mwezi unaofuata xinashuka siku 3 je ni normal hiyo.....hazipo mfano lets say ni siku 28 kamili......zinabadilika badilika kila wakati....kuna msaada wowote au nini kinahitajika.....je ni tatizo hilo au ni normal??
 
Back
Top Bottom