Siku saba za dr slaa

ritz1 bwana kiboko kaingia mitini; jabari utaliweza wenye shoka waneshindwa kilicho baki sasa ni kumpa nchi tu
 
Huyu dogosi mwana sheria, sasa alianza kutishia nyau na kaumbuka kama ni hivyo. Dr anatisha na habahatishi
 
mziki wa marando kusimama nao mahakamani yahitaji nguvu ya ziada dogo kasoma alama za nyakati
 
Naskia alimuongezea muda wa siku 9,900,000,000,000 then zikiisha ndio ataenda Mahakamani.

Slaa (My President) jiandae baada ya hizo siku.
Mi ntakusindikiza.
 
Naskia alimuongezea muda wa siku 9,900,000,000,000 then zikiisha ndio ataenda Mahakamani.

Slaa (My President) jiandae baada ya hizo siku.
Mi ntakusindikiza.
umenivunja mbavu wee
 
Hahaaaaa! Nyerere alisema , dawa ya uongo ni kuokemea na uongo ukisemwa kwa Muda mrefu bila kukemewa uwa Kweli. Je Advocate RZ1 anataka tuamini hivyo?
 
[QUOTE=Manyanza;2020097]Hivi Ritz ana LLB ya chuo gani?[/QUOTE]

Ritz1 ni MCHAKACHUAJI tu. Mi nilikuwa nae pale Mlimani.
Every 'September Conference' alikuwa akosi kuwemo kwa miaka yote minne, tena alikuwa anaingiza ngoma mbili hadi nne.

Note: Kwa wale msiofahamu - September Conference ni kipindi cha mitihani ya Supp.
 
mtoto wa kikwete ni kielelezo cha kushindwa kwa urais malezi ya toka kwake, uongozi wa familia na usitarajie kama anajipya kwa taifa,
riziwani hayo ni maji mazito
 
[QUOTE=Manyanza;2020097]Hivi Ritz ana LLB ya chuo gani?[/QUOTE]

chuo kikuu cha dar-es-salaama, kitivo cha sheria. The weaknes of the individual as nothing to do with university.
 
alikuwa anamuokoa prof mmoja anitwa majamba ila angeshaondoka kitivo pale yaani alkuwa ni mzee wa ku-attend sept conference kufanya nyanga(sup) kila mwaka
 
Dogo limbukeni wa maisha yule anaona ujanja kuiba hela za watanzania
 
alijaribu :dance::dance::dance: akaona mziki wake ni mnene mzee wake akamwambia asijaribu maana wataumbuka kwani hapo anapotaka kupaingia sipo ngoma ya DR.SLAA ni nzito haibebeki hata kwa greda ndio maana dogo kaingi mitini, akachungulia upande wapili wa shilingi kuna mzee Marando akaona hee hivi huyu mzee nitamweza wapi wakati uwakili wangu ni wakupewa ofa!
 
kwa wahaya neno 'RIZ' maana yake ni rundo la kinyesi cha mtu. sasa sijui tukisema 'RIZ 1' maana yake kinyesi kimoja? hapo ndo sijui. mfano mhaya aweza sema " alinya alio eliz'' yaani pale kuna kinyesi.
nilkuwa napita tu.
 
wanajamii ivi zile siku saba alizopewa dr slaa na riz1 za kuomba radhi, zimeishia wapi?
Wee mkuu Nyengo ulitegemea nini hapo. Mti wa mwarobaini hauwezi ukazaa chungwa. Baba yake mbona katoa ahadi kibao mpaka sasa hivi hamnakitu kilichofanyika. Hiyo familia ni AHADI AHADI AHADI CHUKI CHUKI CHUKI VISASI VISASI KWA KWENDA MBELE. kwa hiyo hiyo imetoka ndugu yangu. Huenda ukimwuuliza siku 7 ulizoahidi juu ya Dr. imekuwaje, atakuwa ameshasahau kama alitoa tishio kama hilo na atakuambia mnaidama familia yake na kwamba mna wivu.
 
Kitu cha hatari sana, hivi itafikia kipindi cdm watakuwa na kesi kwenye mahakama za mikoa karibu nchi nzima ee
 
Yameshindwa mafisdi PAPA kumpeleka mahakamani Dr. Slaa sasa hako kadagaa kataweza?Kalikua kanataka kasikie tu kwamba nako kao.Hata siku moja dagaa hawezi kukukua kumfikia sangara.Kinachofuta ni yeye kupelekwa mahakamani kujibu hizo tuhuma za ufisadi.
 
Back
Top Bottom