Siku Nilipomsikia Nyerere Akilitangazia Taifa Kifo Cha Edward Moringe Sokoine

Mkuu
Mizabwa mwl wako aliwezaje kutangaza kifo cha PM kabla ya rais?. Maana taarifa kamili ilitolewa saa za jioni na si mchana.

Mkuu jaribu kukumbuka vizuri. Hiyo ndiyo mida binafsi tuliyopata taarifa.

Miaka ile mashuleni kulikuwa na Redio. Hiyvo taarifa ilitangazwa redioni.

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
uongozi ni utumishi ndicho walichojifanya akina sokoine.Leo hii uongozi si utumishi tena ndio maana tunaona mtu akifanya WIZI anahamishwa kituo akaendeleze WIZI sehemu nyingine,Vilevile tunaona watu wanang'ang'ania na kuutafuta Urais kwa nguvu zote na kutumia mabilion ya shilingi kuununua Urais hii yote ni kutokana na kiti cha Urais kushuka hadhi yake na kukosekana kwa uwajibikaji kuanzia kwenye urais mpaka chini hakuna anayejua utumishi ni nini,ndio maana tunaona hata wezi wanasafishwa na kupewa majukumu nyeti ya kitaifa mfano mzuri ni Mr.Chenge ni mwizi konkodi tumeshuhudia akipewa jukumu la kutuandikia katiba ya TAIFA hii yote ni mizaha na kukosekana kwa nia njema kwa maendeleo Taifa .JUKUMU KUBWA TUNALO WATANZANIA NALO NI KUIKATAA KATIBA YA WEZI KONKODI CCM WAKIONGOZWA NA ANDREW CHENGE NA SAMUEL JOHN SITTA NA MWISHO KUWAZIKA WOTE NA CHAMA CHAO OKTOBA MWAKA HUU.MUNGU WABARIKI WATANZANIA WENZANGU WOTE KUBADILIKA KIFIKRA MWAKA HUU 2015 NA KUUKATAA UPUUZI WOTE UNAOENDESHWA NA CCM NA SERIKALI YAKE NA HIVYO KUKOSEKANA KWA MAENDELEO YA TAIFA NA KUTENGENEZA TAIFA TEGEMEZI OMBAOMBA LISILOJUA LITOKAKO WALA LIENDAKO.
 
Back
Top Bottom