siku moja moja tutoe Avatar then tuweke picha zetu original..

Watu mnahamu ya kuwachabo wenzenu.
Sura zetu wote zinauzika. Hahahaha!lol.
 
Huwajui watu wa aina hii? Kapenda mawazo yenu sasa anataka apete muonekano ili a-fall kamili. Wabongo haswa tunapenda kupenda!

Hahhahha...watakula mawazo mwaka huu!

Kama nia yenu ni penda penda acheni kabla hamjawapenda wake zenu mashemeji na madada bila kujua!
 
Hivi kwanini watu hawataki wajulikane walivyo?Napata wasiwasi kama kuna kiwango kikubwa namna hii cha watu wasiojiamini,wengine humu wana ID za kike wakati sio wengine za kiume wakati sio,najaribu kufikiria sababu jibu ninalopata linanitisha!

Haya na mimi ya kwangu ni hiyo ndo halisi, marufuku kuni PM.
 
mkitaka picha si muende kwenye face book kwa wauza sura wenzenu,wazinz utawajuwa tuuu...
 
Mmh picha halisi zinahusika sana, coz kuna watu wanajisahau na hzo avatar zao!
 
nadhan logic ya picha ndio uasilia wa jamiiforums. Km interlectual or great thinker huna haja ya kujificha!
 
African-American-Skin-Care.jpg

FL1
Baada ya masaa mawili nitaiondoa
 
Jamani first lady umependeza, we mzuri sana sana, nimeipenda picha yako!
 
Back
Top Bottom