Siku Imewadia Nafunga Pingu ya Maisha

umepata wapi muda wa kubrowse jf?kila la kheri.:nerd:

hela ya kurusha laivu harusi kwenye TV hana, kaona alirushe harusi laivu JF, halaf kwenye honeymoon anamuonesha waifu sredi la JF linakuwa bonge la memori. hapa nimethink beyond great thinking capacity.
 
Achangiwe pesa ya nini tena wakati harusi ndo hiyo??Post zetu ni zawadi tosha!
u r vere predictable, nilijua tu utajibu hivi. Acha niwasiliane nae kumuweka sawa kwa matumizi kama ya mwezi hivi, na wewe ndoa yako ikikaribiia usisite kunijulisha.
 
Hongera sana mkuu..

pilau wapi sasa??
nipo laiv harusini hapa, ulizeni masuala yenu na nitawahabarisha kinachoendelea. Pilau lililiwa mida za jioni sasa hivi wapambe tunaserebuka na rumba la kandabongoman. isambe iyooo! mwanamama ee kenya nairobi isambe iyoooo. haya kwassa kwassa kwassa!
 
1009.gif

http://www.youtube.com/watch?v=us3dQ0nnlHY
 
Hongera kaka. Uwe mvumilivu, maisha ya ndoa hayo yana raha na shida. Lakini maudhi mengi kuliko raha. Jikaze Mkuu.
 
Da, naona wadada mnapenda sana haya mambo ya ndoa ndoa, maana hili bandiko mmelichangamkia kweli kweli!

Hongera wanandoa. Pendaneni mpka kifo kitakapowatenganisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom