Siku hizi wanawake wengi wana vitumbo

Ila vikizidi sana 'vinaboa'!

5678492-fat-woman-s-tummy-for-obese-concept-isolated-over-white-background.jpg
kitambi kwa mwanamke ni moja ya vitu nisivyopenda-
 
Hili nimeliona kila ninakopita na ninaowaona. Pia nimesikia sijui wapi tena kuwa ni fasheni mpya! Nami nimeanza pia kuwahusudu wanawake wenye vitumbo. Katika hili, mwanamke anapendeza zaidi pale tumbo linapokuwa kwenye uwiano
na kalio.

Sasa kama unapenda tumbo liwe na uwiano na kalio,unawapa ushauri gani?Wale nini au wafanye mazoezi gani.
Huenda ukamsaidia hata mmoja na ukawa umeleta tofauti.
 
Sasa kama unapenda tumbo liwe na uwiano na kalio,unawapa ushauri gani?Wale nini au wafanye mazoezi gani.
Huenda ukamsaidia hata mmoja na ukawa umeleta tofauti.

hilo swali gumu. Cha msingi wahakikishe hawawi na vitambi bali vitumbo
 
Sasa kama unapenda tumbo liwe na uwiano na kalio,unawapa ushauri gani?Wale nini au wafanye mazoezi gani.
Huenda ukamsaidia hata mmoja na ukawa umeleta tofauti.

kweli kabisa atakuwa ameleta tofauti...
 
Mi napenda sana wanawake wenye vitumbo halafu ukute kina ile MICHIRIZI YA UTAMU utakipenda tu.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom