Siku hizi wanawake wengi wana vitumbo

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,771
2,544
Hili nimeliona kila ninakopita na ninaowaona. Pia nimesikia sijui wapi tena kuwa ni fasheni mpya! Nami nimeanza pia kuwahusudu wanawake wenye vitumbo. Katika hili, mwanamke anapendeza zaidi pale tumbo linapokuwa kwenye uwiano na kalio.
 
bia hizo, wanawake wanywe waini wine, au vodka, whisky, konyagi.
 
binafsi nachukia sana na ninalo kubwa tu najaribu kufanya mazoezi but naona kama najitesa tu linaisha na kurudi soda nimeacha lakini lipo tu, sio fashion ni kwamba tunajitahidi kuyapunguza lakini juhudi hazilipi kivile
 
Usikate tamaa ndugu..
 
Kunyweni maziwa mtindi kwa wingi yanasaidia kuyeyusha vitambi vya tumbo.
 
Wanatekeleza maazimio ya Beijing ya kupigania usawa na haki kati yao na wanaume. Kama wanaume wanalea VITAMBI kwa nini na wao wasilee VITUMBO.:tonguez:
 
hahaha,kubanana mpango mzima! siku hizi mmama nae analewa na kuzimika bar,lol! viva beijing,viva!
 
Wanatekeleza maazimio ya Beijing ya kupigania usawa na haki kati yao na wanaume. Kama wanaume wanalea VITAMBI kwa nini na wao wasilee VITUMBO.:tonguez:

Yaani una utani sana na wanawake! wadada matumbo hayapendezi ila mkaka/mbaba kakitambi kakishikaji kana pendezeka, kakuvalia suti! Yaani my man nakaanga kila kitu apate kitambi kidogo wakt mm nalalia veggies. Kushikwa mkono na tall, black dude ambaye anakafridge kadogo loh kuna raha yake, halafu hata kwa bed u feel una a man!
 
Ila vikizidi sana 'vinaboa'!

5678492-fat-woman-s-tummy-for-obese-concept-isolated-over-white-background.jpg
 
Hili nimeliona kila ninakopita na ninaowaona. Pia nimesikia sijui wapi tena kuwa ni fasheni mpya! Nami nimeanza pia kuwahusudu wanawake wenye vitumbo. Katika hili, mwanamke anapendeza zaidi pale tumbo linapokuwa kwenye uwiano na kalio.

Mambo ya haki sawa kwa wote na wao wanapenda kukunia mbele
 
He he he eti kiwe uwiano na makalio...he he he.inapendeza akiwa na kitumbo ha kishkaji sipendi mwenye tumbo flat utafikiri mdoli.
 
Life stlye zetu mbaya zinachangia ,yaani hiki changu nikikitazamaga napata hasira:biggrin1:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom