siku hizi sio fasheni au??

The Boss

JF-Expert Member
Aug 18, 2009
49,063
115,462
kila siku huwa najiuliza....mbona siku hizi watu hawachungi dada zao?????
yaani sisikii wala kuona watu wakichunga dada zao,,,,,,
na mara nyingi imenitokea nakutana na wasichana mbalimbali
ambao wanafuatana na kaka zao hata out.....
yaani unamtoa msichana out na anakuja na kaka yake ....mnakunywa wote bila tabu.....
au unakuta msichana anakupa no ya simu ya kaka yake
na unapiga halafu kaka yake anakuunganisha kwa dada yake.....
nakumbuka zamani watu walikuwa wakipigana kwa ajili ya dada zao.

siku hizi ni tofauti why??????????
 
ule ulikua ushamba, maana hata ukimchunga je wewe ndiiye utakayemuoa? maana na wewe kaka unamendea dada wa wenzako, sasa hivi maisha ya watu yamebaduilika sana. Imekua ni urafiki kuona dada anachukuliwa na jamaa fulani na sio tena uadui kama wa kizamani mkuu
 
He..he..he, kwa dadaangu mimi hampati kitu babaangu...Yani mi nikupe namba ya dadaangu, au nikuunganishe, lol utakuwa umenidhalilisha sana! Kama una ishu nae mtafute mitaa ya kati huko mmalizane, huh!
 
Sio wakaka tu, kuna baadhi ya wababa hata hawachungi binti zao siku hizi. Binti yake akiwa na bf anampeleka hadi home na mzazi hamind wala nini. Naona siku hizi ni uzungu kwenda mbele.ILa mie kaka yangu bado mkaliiiiiiiiiii!!
 
Ukimchunga mtu siku hizi unajidanganya..na utachorwa na kuchekwa bora tu uwe huru.Kama ni dada au binti yako... akishafikia umri wa kutosha jaribu kuwa karibu naye umwelekeze ukweli wa maisha kuliko kumdhalilisha kwa kumchunga kama mbuzi.

Wale wanaojitokeza wazi ni bora kuliko wale wa kujificha.Siku hizi kuna tech za kila aina kurahisisha mawasiliano.Unaweza ukafanyiwa jambo mbele ya macho yako hivi hivi na usijiue kinachoendelea.TUSIJIDANGANYE KUWA TUNACHUNGA.
 
Sio wakaka tu, kuna baadhi ya wababa hata hawachungi binti zao siku hizi. Binti yake akiwa na bf anampeleka hadi home na mzazi hamind wala nini. Naona siku hizi ni uzungu kwenda mbele.ILa mie kaka yangu bado mkaliiiiiiiiiii!!

Kaka yako hajakutana na vidume. Mwenyewe atabloo. Nijaribu tuone.
 
hi Pretty we ni M/F naona picha ya profile Pretty "I like to jog".
naomba unitoe utata kidogo
Na pia nikirudi kwenye hiyo mada hapo nadhani tumeadvance na vitoto vinavyozaliwa sasa havichungiki hata kidogo

Bora tu u-free vipewe la itakuwa balaa lakini mambo ya kupeleka kwa wazazi sometimez ni noma ..imagine uko under 18 unapeleka B/F home na malovee ya siku hadi ufikie 30 kama hujaolewa wameshakumwaga /umewamwaga kibao sasa utampelekea mzazi B/f , G/f wangapi??
 
Karibu kwenye ulimwengu maridhawa,unajua sikuhizi dhiki imeshika hatamu watu hawana kitu ndio maana akina kaka sikuhizi wakiona dada zao wanachukuliwa wanakuwa proud of it as wanapata uhakika hata wa kunyonya mvinyo kwa mashemeji zao,lakini pia siku hizi hawa mabinti wanazotabia za kuhonga wanaume ili wasikimbiwe tuu,sasa mimi sijui sababu ninini,au wanaume tupo wengi?
 
Ahsante kwa kutufahamisha kuwa wewe ni he. Tulishaanza kujipanga
 
He..he..he, kwa dadaangu mimi hampati kitu babaangu...Yani mi nikupe namba ya dadaangu, au nikuunganishe, lol utakuwa umenidhalilisha sana! Kama una ishu nae mtafute mitaa ya kati huko mmalizane, huh!

PJ,
naomba namba za simu za dadaako!?!............
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom