Siku hizi kila kinacho tokea kinahusishwa na freemasons, ni ugumu wa kufikiri ama?

malinda

Senior Member
Oct 20, 2012
196
32
hata suala la harakati za sheikh ponda na uamsho kule znz tunaambiwa eti freemasons wanahusika,.. Magazeti ya udaku ya bongo ni laana taanza kuandika habari zenye kufikirisha bongo?
 
Umekosea gear ya kuingilia mgeni unakuja na shari hapa utapata ban

Sent from my BlackBerry 9860 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom