Siku CHADEMA.......

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Itakuwaje kwa viiongozi wa serikali wanaoabudu CCM siku CDM ikishika dola.

Wataendelea na tabia hii ya unafiki ya kutosimamia ukweli katika jamii kisa CCM iko madarakani.

Au wataanza unafiki mpya kwa kuabudu CHADEMA ? Kama ni hivyo maendeleo hayatapatikana kwa kuwa mifumo ya unafiki itaendelea ndani ya nchi hii.

Viongozi wa serikali wanatakiwa kusimamia sheria na kanuni katika maeneo ya kazi.
 
Itakuwaje Magufuri akiwa raisi kupitia CCM?
 
itakuwaje magufuri akiwa raisi kupitia ccm?

no kukesha bar
ukichelewa job ur fired
no magumash,
mwisho sa 12 kuzurura
wafanyakaz wa serkal
watafanya kazi kwa kadiri walipakodi wanavyo kamuliwa yani hakuna kufanya kazi ilimradi mshahara unaingia pale nmb trh 25.
Kifupi nji itaendeshwa kijeshi!!!
 
Na ndivyo inatakiwa.
 
nahisi kama anga litakuwa limejaa helikopita za mafisadi yakikimbilia nchi jirani!
 
Back
Top Bottom