Siku CHADEMA wakichukua nchi, tutarajie haya...

Tuko;

Ni muhimu tukawa tunajitathmini kama tuna uwezo wa kuzitetea Thread zetu kabla hatujazirusha. Nyadhifa nyingi ulizotaja mkuu hapo juu kuzipata hazitegemeaji na siasa, Jaji, Mkuu wa Chuo, Hakimu na nyingine nyingi ni taaluma za watu hizo. Sasa kama sifa ya kupata ajira Tanzania itakuwa ni kuwa na KADI ya CHADEMA hicho ni kitu kingine.

Hivi unategemea Hakimu aliyeajiriwa kwa sheria ya ajira na waraka wa utumishi wa umaa, CDMA kimfukuze kazi kwa kipengele kipi? au unataka kuonesha umbumbu mbu wa kutoelewa mambo? Hakika huu ni uvundo wa mawazo duh, sijawahi kusikia Nchi ambayo sifa ya mtu kuajiriwa ni Kadi ya CHAMA tawala.

Ndugu yangu, I wonder how far you are living from "CCM-Tanzania".
1. Kaa 'vijiweni' ujue criteria zinazotumika na CCM kwenye nafasi za kuteuliwa (wakurugenzi, makatibu wakuu, makamishna n.k)
2. Tembea Tanzania ujue gap lililopo kati ya actual need na availables kwenye nafasi za kuajiriwa
3. CCM wametumia nafasi zao na udhaifu wao kuteua na kuajiri watu wenye uwezo mdogo kama kina Mlugo. Simaanishi kwamba CDM wataenda the other side ya kuajiri watu wao, no... namaanisha kuwa CDM kama watataka kuboresha utendaji wa serikali, lazima watafanya mabadiliko ya uweka watu wenye uwezo wa kuhudumia wananchi (regardless ni wanachama wa chama gani, au sio wanachama wa chama chochote)
 
Back
Top Bottom