Naamini CDM ni chama kitakachotawala kwa haki, na kuhakikisha kila nafasi ya utumishi wa umma inakuwa na mtu mwenye credibily. Kutokana na serikali ya CCM kuzitumia nafasi za kiutendaji serikalini kisiasa, ni wazi kabisa itakuwa ngumu kuendelea na watu wengi nchi itakapokombolewa. Kwa mantiki hiyo, CDM wakichukua nchi
Ni majaji wachache sana watakaoqualify kuendelea...
Ni Wakurugenzi wa wilaya wachache sana watakaoqualify kuendelea...
Ni makamanda wachache sana wa polisi wa mikoa na ma-OCD watakaoqualify kuendelea...
Ni mahakimu wachache sana watakaoqualify kuendelea...
Ni makatibu wakuu wa wizara wachache sna watakaoendelea,
Ni wakuu wa nyuo, wakurugenzi wa mashirika na maidara, wenyeviti wa bodi, makatibu tawala wachache sana watakaoqualify kuendelea...
Wakuu wote wa wilaya na mikoa watakuwa discontinued...
Majority ya usalama wa taifa na takukuru watakuwa discontinued...
Nafasi ya Dk Hosea itakuwa wazi, ya msajili wa vyama itakuwa wazi, ya IGP itakuwa wazi, ya Manumba itakuwa wazi, za makamishna wote wa polisi zitakuwa wazi...
Je CHADEMA kitapata watu wenye credibility wa kutosha kujaza nafasi hizo???
Wacha uongo wewe.
hakimu, nakubaliana na wewe, lakini jaji, kamanda wa polisi, wakuu wa vyuo vya umma, wote wana harufu ya siasa pamoja na kwamba wana taaluma zao tena nzuri.
1. Chukua mfano wa udsm, Mkandala aliteuliwa katika nafasi yake ya sasa akitokea REDET. Ni kupitia REDET alikuwa na kawaida ya kukisifia CCM, na ndiye anayetajwa kuunda ilani ya uchaguzi 2005. Baada ya J.K kupita, alipewa kama asante, na Mathew Luhanga akarudishwa COET kuwa mkuu wa kitivo. Siasa ndo ilifanya kazi.
2. Majaji wote, pamoja na taaluma walizonazo, lakini mtu huwi jaji mpaka uteuliwe na uapishwe na RAIS.
3. Makamanda wa polisi, wote file zao ziko ikulu, na kuchaguliwa kwao, lazima kuwa na uhusiano wa karibu sana na IJP, ambaye ni mteule wa Rais, hivyo kwa maneno mengine wanategemea hali ya siasa katika kazi zao. Ndio maana kwa baadhi ya maeneo, wamekuwa wakihamishwa mara moja ikiwa wameharibu michakato miovu ya CCM.
4. Wakuu wa wilaya, hata mwenyewe unajua wanapatikanaje, wacha uvivu wa kufikiria.
5. wakurugenzi, ni wateule wa TAMISEM-waziri husika. hivyo nao huharibu hata chaguzi nyingi kwa sababu hiyo. kwa maneno mengine ni wenye kadi za CCM
6. Makatibu wa wizara wote wanateuliwa na kuapishwa na rais, ndo maana ni wachache walo safi. wana harufu ya CCM
idara kma USALAMA WA TAIFA MAHAKAMA POLISI hazifanyi kazi wala kujihusisha na siasa bali kwa mujibu wa sheria.

Aisee ukiitwa bundi itafaa zaidi kwani yeye ndie hana uwezo wa kuona mchana kweupe kama ulivyo wewe!wakichukua nchi CDM "which is far away from reality " utaulizwa we dini gani..? unatokea mkoa gani... ndio mambo mengine yataendelea ..
Bora umeeleza na watu wenye akili finyu waliokuwa wakipinga hoja yako waone aibu...umeonyesha uwezo wa kujenga hoja na kukitetea unachofikiria bila kuyumbishwa....pamoja na hayo Watumishi hawawezi kukosa sababu wapo watu wengi wanao weza kushika nyadhfa hizo na walio na misimamo na wanaopenda kulinda hadhi za taaluma zao ambao hawakupewa nafasi hizo kwasababu ya mamlaka za uteuzi kuogopa kuhatarisha maslahi yao!Swali langu ni kuwa, je zoezi hili litaendeshwaje kuwapata watu makini, bila kuvunja sheria au kusababisha manung'uniko?
Ni majaji wachache sana watakaoqualify kuendelea...
Ni Wakurugenzi wa wilaya wachache sana watakaoqualify kuendelea...
Ni makamanda wachache sana wa polisi wa mikoa na ma-OCD watakaoqualify kuendelea...
Ni mahakimu wachache sana watakaoqualify kuendelea...
Ni makatibu wakuu wa wizara wachache sna watakaoendelea,
Ni wakuu wa nyuo, wakurugenzi wa mashirika na maidara, wenyeviti wa bodi, makatibu tawala wachache sana watakaoqualify kuendelea...
Wakuu wote wa wilaya na mikoa watakuwa discontinued...
Majority ya usalama wa taifa na takukuru watakuwa discontinued...
Nafasi ya Dk Hosea itakuwa wazi, ya msajili wa vyama itakuwa wazi, ya IGP itakuwa wazi, ya Manumba itakuwa wazi, za makamishna wote wa polisi zitakuwa wazi...
Je CHADEMA kitapata watu wenye credibility wa kutosha kujaza nafasi hizo???
upotofu wa fikra.
wakichukua nchi CDM "which is far away from reality " utaulizwa we dini gani..? unatokea mkoa gani... ndio mambo mengine yataendelea ..
Mkuu haya mambo ya kufuata protocal wakati mwingine ndiyo yanachelewesha maendeleo... kuna watu wakufukuzwa mara moja na wengine wa kujadiliwa.. angalia huyu police chief wa Malawi alifukuzwa siku mbili tu baada ya Banda kuwa rais, ina maana makosa yake yalikuwa yanajulikana before. Hata sisi kuna watendaji wa serikali watakaotimuliwa au kujiuzulu siku chache tu kama CDM itafanikiwa kutwaa madaraka na wanajijua kabisa.
New Malawi president fires police chief
Malawi's new President Joyce Banda has fired the nation's police chief and hired a new one,
her office said on Monday, two days after she took office following her predecessor's death.
Banda has "appointed commissioner Lot Dzonzi as the new inspector general of police with effect
from April 8", replacing former top cop Peter Mukhito, said a statement from the office of the
president and cabinet.
Wacha uongo wewe.
hakimu, nakubaliana na wewe, lakini jaji, kamanda wa polisi, wakuu wa vyuo vya umma, wote wana harufu ya siasa pamoja na kwamba wana taaluma zao tena nzuri.
1. Chukua mfano wa udsm, Mkandala aliteuliwa katika nafasi yake ya sasa akitokea REDET. Ni kupitia REDET alikuwa na kawaida ya kukisifia CCM, na ndiye anayetajwa kuunda ilani ya uchaguzi 2005. Baada ya J.K kupita, alipewa kama asante, na Mathew Luhanga akarudishwa COET kuwa mkuu wa kitivo. Siasa ndo ilifanya kazi.
2. Majaji wote, pamoja na taaluma walizonazo, lakini mtu huwi jaji mpaka uteuliwe na uapishwe na RAIS.
3. Makamanda wa polisi, wote file zao ziko ikulu, na kuchaguliwa kwao, lazima kuwa na uhusiano wa karibu sana na IJP, ambaye ni mteule wa Rais, hivyo kwa maneno mengine wanategemea hali ya siasa katika kazi zao. Ndio maana kwa baadhi ya maeneo, wamekuwa wakihamishwa mara moja ikiwa wameharibu michakato miovu ya CCM.
4. Wakuu wa wilaya, hata mwenyewe unajua wanapatikanaje, wacha uvivu wa kufikiria.
5. wakurugenzi, ni wateule wa TAMISEM-waziri husika. hivyo nao huharibu hata chaguzi nyingi kwa sababu hiyo. kwa maneno mengine ni wenye kadi za CCM
6. Makatibu wa wizara wote wanateuliwa na kuapishwa na rais, ndo maana ni wachache walo safi. wana harufu ya CCM
wakichukua nchi CDM "which is far away from reality " utaulizwa we dini gani..? unatokea mkoa gani... ndio mambo mengine yataendelea ..
CHANGE lilikuwa neno alilotumia Obama 2008, wamarekani wengi walikuwa desperate na hali ya uchumi. Watu waliamini Obama angebadili uchumi kwa kipindi kifupi, baada ya miaka zaidi ya miwili kupita, lawama zote zinaelekezwa kwake. Ukweli utabaki palepale, shimo alilochimba Rafiki wa JK (George Bush) kwa miaka 8, Obama asingeweza kulifukia ndani ya miaka minne.
Hili naliona kutokea Tanzania, punde CDM wakinyakua nchi. Watu wengi tunaamini M4C, je ni lipi tofauti na Obama, CDM watafanya kuziba shimo linalochimbwa na CCM kwa zaidi ya miaka 50?