Siku chache baada ya muhafaka..Clouds FM wawapeleka Vinega mahakamani...

hawa wakuja walikuwa wanatupigia sana kelele hapa mjini na shangazi yao Mbilinyi sasa ndo watajua kwanini Ikulu ipo Dar es salaam....
 
hawa wakuja walikuwa wanatupigia sana kelele hapa mjini na shangazi yao Mbilinyi sasa ndo watajua kwanini Ikulu ipo Dar es salaam....

We Hemedi funga bakuli lako.
Nani wa kuja? Wa kuja ni wewe ulotoka Tanga juzijuzi, unaeza kujifananisha na kinega gani? Au unaringia kiburi cha Shabiby?
Usilete habari za dharau hapa.
We usitegemee kama kuna kinega hata mmoja atakayesumbuliwa na hao Clouds wako, watu wako kamili bwana mdogo.
 
Napita tu kwani naona watu wanongea kwa level zao (ELIMU YA WENGI)
 
habari zilizopo mtaani ni kwamba kampuni ya clouds ent imewafungulia kesi mahakamani members wa vinega,na kesi itasikilizwa tarehe 21 mwezi huu..
Cha kushangaza katika mashtaka hayo hawajamjumlisha sugu akiwa kama kiongozi wa vinega..
Kitaa kinajiuliza je ule muhafaka wa kuzika na kusahau tofauti zao za nyuma umekufa au vipi?
Nini kitafuata baada ya hapo,ngoja tusubiri.

muafaka na sio muhafaka
 
We Hemedi funga bakuli lako.
Nani wa kuja? Wa kuja ni wewe ulotoka Tanga juzijuzi, unaeza kujifananisha na kinega gani? Au unaringia kiburi cha Shabiby?
Usilete habari za dharau hapa.
We usitegemee kama kuna kinega hata mmoja atakayesumbuliwa na hao Clouds wako, watu wako kamili bwana mdogo.

Hee kumbe Hemed yumo humu?
Na huyo shabiby imekaaje tena maana nasikia jamaa mtu wa viboga kwa mno, ina maana huyu dogo muuza sura inawezekana akawa chakula!
 
Sugu ni msomi??
nenda kwa PROF IBRAHIM LIPUMBA akufundishe nini maana ya neno msomi then ndio uje kuongea huu UTUMBO

Hata Ruge anajua vizuri misimamo ya Sugu! Hawezi kukurupuka kijinga hivi! Sidhani kama hii habari ni ya kweli! Sugu si msomi lakini anajua kusimamia anachoamini kuliko wasomi wengi! Nadhani Hiphop halisi imemjenga sana toka zama zile kwenye shows za Tunduma! Issu e ya Sugu imeharibu sana image ya Clouds kiasi kwamba si rahisi Kusaga akataka malumbano ya dizaini ile tena!!

Mkuu hebu kaa hapa __/ alafu soma hapo kwenye bold kisha ufute povu maana mpaka linachuruzika. Umeona eh? Haya Ahsante!
 
Back
Top Bottom