Siku ambayo hutoisahau maishani mwako

sitosahau siku nilobalehe, nakumbuka nilikuwa naangalia mpaka makalio ya vifaranga vya kuku.
Tutubuni zambi zetu wajameni. amen
 
mimi sitasahau siku nilipomkamata panzi wangu kwa shida...nikiwa na miaka 6...nikamfungia kwenye mkebe wa Yolanda...kuja kumfungua baada ya siku 3 nikakuta amekufa....hii kitu sitakaa niisahau...

Hahahahahaa Preta bwana! Umenichekeshaje?
 
sitosahau siku nilipogonga treni na baiskeli yangu kisha treni kukosa muelekeo na kusababisha ajali ya dodoma lakini namshukuru mungu mpaka leo bado napumua kwa shida japo sifi
 
preta unajua mi huwa najiuliza kila siku hivi hawa viumbe kama huyo panzi wenginewo halafu unamuweka kwenye mkebe kwa 3 days bila kumpa chakula unazani hiyo ni haki?.Hebu jalia huyo panzi ni wewe alaf mungu akawa anaviumbe wengine wanauwezo wakukukamata kama ulivyo mkamata panzi alaf akuweke kwenye mkebe utajisikiaje?nazan ulitenda zambi ya kuuwa unatakiwa utubu na wewe
 
Dah! mchungaji kifo cha panzi kimemuumiza sana.
Preta tunaomba utubu haraka sana kabla haujaangukiwa na laana ya bajun
 
Back
Top Bottom