Siku 9o za utajiri Zambia

ERIC JOSEPH

JF-Expert Member
Aug 10, 2011
567
55
Mh SATA ametangaza unafuu wa wamaisha kwa wakazi wa zambia kwa mwekezaji lazima awaajili wananchi.Pili kupunguza ushuru wa vitu viingiavyo nchini.
 
Isije ikawa nguvu ya soda! Ila kanikuna alipowachagua wapinzani kwenye baraza la mawaziri. Inaonekana SATA si mrafi wa madaraka!
 
Isije ikawa nguvu ya soda! Ila kanikuna alipowachagua wapinzani kwenye baraza la mawaziri. Inaonekana SATA si mrafi wa madaraka!

je ni kiongozi gani anaweza kuwachagua wapinzani kama mawasili huyu sio mlafi wa madalaka kuna tetesi nimesikia anampango wa kupunguza kodi kwa bidha za ndani na nje zenye ubora kusudi kupunguza makali ya maisha.hana sela ya kulinda chama ye anangalia manufa ya taifa kwanza
 
Mh SATA ametangaza unafuu wa wamaisha kwa wakazi wa zambia kwa mwekezaji lazima awaajiri wananchi. Pili kupunguza ushuru wa vitu viingiavyo nchini.

Tafadhali edit hiyo post yako namba 1, urekebishe lugha mbovu uliyotumia. Fata marekebisho kama nilivyokuwekea.
 
mkuu kabla hujatuma post soma na rudia tena na tena,itatuonyesha jinsi ulivyo makini
 
Back
Top Bottom