siku 7 za CHADEMA kwa Nape

Wewe unafanya kazi Kisutu? Swala hili lipo kwa Pilato sio fresh kulidiskas.
 
Wewe unafanya kazi Kisutu? Swala hili lipo kwa Pilato sio fresh kulidiskas.

Mkuu watu wanaotaka kukabidhiwa nchi wanaposhindwa kutekeleza ahadi ndogo kama hizi, Je wakipewa nchi ahadi kubwa watatekeleza kweli?..

M' Just saying!
 
kamanda mnyika jibu hili la sivyo tutaanza kutilia shaka kauli zako upo makini unaposema kitu au unakurupuka??
 
Mkuu watu wanaotaka kukabidhiwa nchi wanaposhindwa kutekeleza ahadi ndogo kama hizi, Je wakipewa nchi ahadi kubwa watatekeleza kweli?..

M' Just saying!

Mkuu mkitaka kuwapa nchi msije kutumia vigezo vya minyukano ya kisiasa mtajuta.
 
Hey, jamani,tupo kwenye mambo makubwa yanayohusu uhai wa watanzani,nashauri cdm waweke nguvu kubwa kwenye hili kwanza, wawahakikishie watu usalama, then after, habari za nape zitafanyiwa kazi,hebu tuwe na vipaumbele.

Naamini issue ya nape aliyodai chadema wanajifanyia vurugu,ndiyo utekelezaji wake kupitia pilisccm.kwapamoja tuwaunge mkono viongozi wetu na tusiondoe imani kwao naamini kila kitu kitafanyika kama ilivyopangwa.waombaji waombe for cdm,waswaliji wafanye dua pia.

naamini tutashida vita dhidi ya huu uzalimu wa ccm na polis.

long live cdm
Mambo mengine bwana...............
 
Nepi ya mavi.....................!mkama mjanja sana anachokifanya anamsakizia nnepi alopoke lopoke yeye anakaa pembeni kabisa.........nepi alivyo tahira anakurupuka tu,,,,chadema sio watu wakushindana nao kwasasa watakupoteza kama samwel sitta,
 
miaka kumi ijayo kunavwanasiasa toka upinzani ni lazima wapelekwe pale Uholanzi kutokana na uchochezi
 
Cdm wanapaswa kuonyesha political maturity kwenye hili lakini pia lazima waonyeshe kuwa hawafuati mkondo wa ki magamba kutoa empty threats. Refer rizmoko na kauli za kushtaki Slaa na Mtikila.
 
gamaba kama wewe huwezu kunielewa.maana mungu amewaondolea upeo huo.
Pole sana mamajack..........sio kwamba ukiwa mtandaoni unaishabikia chadema maana yake una akili au upeo kuzidi watu wengine, mimi nashabikia uzalendo. Na mungu akuzidishie upeo zaidi uendele kuelewa mambo na kupembua baya na zuri
 
mzalendo uwe wewe??? wadanganye wezi wenzio.wewe zuri kwa mungu ni baya kwako.hangaika na huo upeo wako wenye utindio wa ubongo.
 
Hawa wanasiasa siyo wa kuwaamini sana. Huyo Mnyika na Nape kuna siku niliwakuta kwenye mgahawa mmoja hivi katikati ya jiji wakipiga kitu cha juisi ya matikiti huku wakicheeeeeka unaweza kusema ni mtu na shemeji yake. Narudia wanasiasa siyo watu wa kuwasikiliza hata kidogo. Watu wengine bwana.

Nina wasiwasi NAPE ni pandikizi la CDM. Masikini chama chetuuuu!!!!!!!
 
Ndugu zangu.

si vema kuwataka wanasiasa wetu wachukiane, kisa ni upinzani wao wa kivyama.
sasa watawezaje kupeana mawazo mazuri ya kuijenga nchi yetu kama hawatakua marafiki?

mbona zito anapokutana na viongozi wa ccm munamwita msaliti?

Mbona cuf wanaposhirikiana na ccm zanzibar kuunda serikali kwa pamoja munawaita cuf kua ni ccm-b?

Kweli nyie wanafiki sana na munashirikiana baina ya ccm na chadema kupitia kanisa. Tumewastukia.
 
Siasa sio uadui

Wao huwa wana exaggerate wanapokuwa majukwaanina kuna baadhi ya wananchi wanachukulia maneno ya wanasiasa kama the vivid truth.......Radhiasweety@ kasema la maana ; wanasiasa wanabeba both latent and manifest functions
 
Ndugu zangu.

si vema kuwataka wanasiasa wetu wachukiane, kisa ni upinzani wao wa kivyama.
sasa watawezaje kupeana mawazo mazuri ya kuijenga nchi yetu kama hawatakua marafiki?

Kwa sera za chama kipi ??? Ajabu ya mbingu............
 
Back
Top Bottom