Siku 30 Nzito za Maisha Yangu. ooh, Glory to God!!!

Mungu akutangulie kusiwepo na hiyo blue. Manake usijekuta ameshakukinai kwa jinsi ulivyomcheleweshea jibu miaka yote mi5.

ondoa wasiwasi mpendwa, ananipenda sana tena sana na namshukuru Mungu daima mchana na usiku kwa ajili yake!!
 
MKuu,
Judith ni kamanda fulani vile, we ushaelewa.
Ngoja nikupe taswira anavyofanania, japokuwa ana nafasi ya kujirekebisha(ana siku30 tu za kujirekebisha)
:
couple-arguing.jpg

hhahaaa

haya kaka PJ, Mungu akubariki sana!
 
...sio kuwa napanga kila kitu mpendwa. angalia nilivyowajibu wengine kuna majibiu unayohitaji.

ubarikiwe sana

Miss Judith, take it easy. Sisi tunakupa ndogo ndogo tu. It is your life!
Tunajuana kwa pen names tu humu. In real life labda tunaweza kuchukuliana kwa mtizamo tofauti.
Binafsi na admire ulivyo committed kwenye mipangilio ya maisha yako. Keep it up...!

Mwenyezi Mungu akutangulie, nawe umtegemee kwa kila jambo.
Wish you the best.
 
...It is more like this
man-on-a-leash-5.jpg

anyway, inaelekea Miss Judith anatokea kwenye familia ambayo "mama ana sauti kuliko mzee!"...
Inakubalika lakini, aka "powerful women!"

Hehehehehe....the lady is incharge...labda mwenzie ndivyo anavyopenda!!!Embu mwacheni akifanikiwa na sie tuige mfano wake maana kusubiri mpaka mwanaume aseme kunafanya wengine wazeeke bila ndoa ambazo wangekua na ujasiri wa kuonyesha wanataka wangeshazipata!
 
Miss Judith, take it easy. Sisi tunakupa ndogo ndogo tu. It is your life!
Tunajuana kwa pen names tu humu. In real life labda tunaweza kuchukuliana kwa mtizamo tofauti.
Binafsi na admire ulivyo committed kwenye mipangilio ya maisha yako. Keep it up...!

Mwenyezi Mungu akutangulie, nawe umtegemee kwa kila jambo.
Wish you the best.

asante sana mpendwa kwa kunitia moyo

ubarikiwe sana

Glory to God!!!
 
MKuu,
Judith ni kamanda fulani vile, we ushaelewa.
Ngoja nikupe taswira anavyofanania, japokuwa ana nafasi ya kujirekebisha(ana siku30 tu za kujirekebisha)
:
couple-arguing.jpg

Kati ya watu ambao nina hamu ya kuwaona Live, basi huyu ndie TOP ktk list yangu.
Namuombea apate mwanaume tofauti na wanaume niliopata kuwajua mimi mpaka sasa ambaye ataendana nae
La sivyo naona atapata tabu sana ktk ndoa
 
hongera kwa uamuzi uliofikia...
i think you have to work on your tabia,
you come across as arogant at times i mean kiburi kny post zako kinasomeka...
mwanamke ukifika kwa mumeo,ukajinyenyekeze ukajishushe regardless status yako kipesa/kikazi na kisomo pia...
jifunze kudistinguish being confident and being jeuri!

kila la kheri.:bange:
 
Hehehehehe....the lady is incharge...labda mwenzie ndivyo anavyopenda!!!Embu mwacheni akifanikiwa na sie tuige mfano wake maana kusubiri mpaka mwanaume aseme kunafanya wengine wazeeke bila ndoa ambazo wangekua na ujasiri wa kuonyesha wanataka wangeshazipata!

dada lizzy nakushukuru sana.

naomba kuweka sawa hapo kwenye bold. kijana huyu ninayemzungumzia ndiye aliyenitaka na kuniomba tena wakati nikiwa mwanafunzi na bila hata kuwa na mbele wala nyuma ya maisha!, mimi kwa sababu ya ratiba ya maisha yangu sikuweza kumkubalia ombi lake kwa miaka hiyo na leo ratiba zangu zote zimekamilika na ndio maana nasema kwa sasa sioni sababu kwa nini tusiungane na kuwa mwili mmoja!

hatujawahi kukata mawasiliano wala kuyapunguza, baadhi ya ndugu na tafiki zangu wanamjua na pia baadhi ya ndugu na rafiki zake wananijua. so sisi ni marafiki wakubwa sana hadi sasa nitakachokifanya ni ku-confirm tu kuwa nimekubali ombi lake kama ambavyo wanawake wengi wanafanya kila siku.

itakuwa ni kupotosha ukweli ikionekana hapa kuwa nimeamua "kuvunja ukimya" baada ya kuona nazeeka bila ndoa japo sioni ubaya wowote kwa mwanamke kumomba mwanaume kufunga naye ndoa iwe ni kwa sababu ya kuzeeka au nyingine yoyote.

naamini nimeeleweka.

asante

ubarikiwe na Bwana.
 
Mi ninachojiuliza ni kwamba, hiyo June mosi taarifa itakayo fika kwa kijana itakuwa NINAKUTAARIFU RASMI KWAMBA NIMEKUTEUA KUWA . . . .au itakuwa NIMEKUKUBALIA OMBI LAKO LA KUNICHUMBIA . . ????
 
Mi ninachojiuliza ni kwamba, hiyo June mosi taarifa itakayo fika kwa kijana itakuwa NINAKUTAARIFU RASMI KWAMBA NIMEKUTEUA KUWA . . . .au itakuwa NIMEKUKUBALIA OMBI LAKO LA KUNICHUMBIA . . ????

haha, nimeupenda udadisi wako!!

tuombeane mpendwa,

Glory to God!
 
hongera kwa uamuzi uliofikia...
i think you have to work on your tabia,
you come across as arogant at times i mean kiburi kny post zako kinasomeka...
mwanamke ukifika kwa mumeo,ukajinyenyekeze ukajishushe regardless status yako kipesa/kikazi na kisomo pia...
jifunze kudistinguish being confident and being jeuri!

kila la kheri.:bange:

asante kwa ushauri,

ubarikiwe sana mpendwa
 
Ingekuwa nakujua kwa sura Miss Judith, basi ningeomba niitembelee couple yenu baada ya kuwa mmeishi kwa miaka 3(if at all you might be together at that much period of time!)...
Kwa hakika , hata nikikaa na couple yenu kwa dakika 10 zitatosha kujua kinacho...kati yenu.
Hata kama mtakuwa silent kwa dakika hizo!
 
yaani hiyo heading nmejua sth so very big!! ila nmependa. KP on kuji2nza mwaya, co 2 kwa sasa bali had kwenye ndoa yako. Kila la kheri mpendwa!!
 
PJ karibu sana.

kwa sasa tuombeane uchumba uzinduliwe na ifikie kufungwa ndoa. i am keeping your words na tukitimiza 3 yrs nitakualika ututembelee nyumbani kama utapenda kufanya hivyo. tuombe uzima!

ubarikiwe sana
 
yaani hiyo heading nmejua sth so very big!! ila nmependa. KP on kuji2nza mwaya, co 2 kwa sasa bali had kwenye ndoa yako. Kila la kheri mpendwa!!

asante sana kwa dua na ubarikiwe sana mpendwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom