Siku 30: More action dear friends!

.
Nipo nipo tuu, nimeajiriwa kama mfanyakazi wa ndani kwa wazungu fulani, ila najipanga vizuri, niripoti rasmi pale TPN offices, Dar Group, nilipe madeni yangu ya nyuma, halafu nimtafute Max kurekebisa my JF commitment, ndipo niende Kilosa.

Keep it up!.

Tuko pamoja Mkuu.

Janet fo 3 years tumekuwa naye TPN hakika ni mzuri sijui mbeleni, na pia amefanya mengi. lakini pale masaki pia amekuwa akipinga sana ufisadi. Hata swala la kuuza beach liko katika himaya yake na anaenda nalo sambamba.

Asante Mkuu. Matunda ya PR yako pia ya AGM ya kwanza. Unakumbuka?
Mtsimbe hongera kwa Mbunge wetu mpya, you never know the role played by TPN kumfikisha hapo alipo, na huu ndio mwanzo wa safari tuu.
 
.
Angalizo hili niliwahi kulitoa huko nyuma, Mtsimbe, wewe ndio uliyekubalika na media ya nyumbani, hivyo naomba tuache upon you kuipaisha JF na Michuzi on your presentations. Mwanzoni nilimionac Mx akishiriki phisically kwenye ile presentation ya kwanza, kama itawezekana, tujitahidi someone from JF to be always there during presentation.

Pasco, ukweli ni kuwa hakuna kinachofanyika bila wadau wote kushirikishwa . . .
 
Back
Top Bottom