Siku 265 za Lowassa: CCM wapata hasara, CUF na CHADEMA wanufaika

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
Ni kwa mjibu wa gazeti la Jambo Leo likifanya uchambuzi wa siku 265 tangu nguri huyo wa siasa aondoke ndani ya CCM

Ndani linaeleza ujio wake ulivyosababisha CUF kufufuka bara na kujizolea majimbo

Linaeleza ujio wake ulivyosababisha CHADEMA kuipa kipigo kitakatifu mikoa ya kaskazini

Linaeleza ujio wake ulivyosababisha majiji yote isipokuwa Mwanza yalivyoangukia UKAWA
 
Hata Ujio wa Augustino Mrema kwenye upinzani uliinufaisha NCCR-Mageuzi ambayo ilipata wabunge zaidi ya 20 na viti vingi vya madiwani lakini kwa sasa yuko wapi?

Lowassa is finished!

Kwa sasa Lowassa anapitia mapito aliyopitia Mrema kuelekea kwenye kaburi la kisiasa.

Siku hizi Lowassa akisimama kwenye jukwaa anaanza kuwauliza wananchi kama wamemsahau kwa sababu hawadeki tena barabara ili apite.
 
Wachambuzi huwa ni kina nani?
Kampuni mmiliki ya gazeti ni ya nani?

Je hamjui kwamba rostam aziz anamiliki idadi kubwa ya Magazeti nchini mpaka Sasa?

Je hamjui UKAWA na lowasa wao bado wanatafuta kick mpya, lakini imekosekana kwani JPM amekaba hadi penalty?

Je mtindo huu wa kujitokeza na wahariri tumbo, Ndio ulitumiwa na wana mtandao ndani ya CCM wakatuletea JK, wakiongozwa na huyo huyo Lowassa?

Je mmesahau mafuriko ya kutengeneza yalivyotikisa Uchaguzi 2015, ingawa yalikuwa fake?

Baada ya kushindwa wapi kina mghana msindai, hamis mgeja nk, Mbona hatuwaoni wakiitisha mikutano pale serena hotel?

Wapi friends of........
Tafakari na chukua hatua nchi ni yetu sote na lolote Lilitokea liwe zuri au baya ni la watanzania wote.... Chapeni kazi huu si wakati wa takwimu.
 
Ni kwa mjibu wa gazeti la Jambo Leo likifanya uchambuzi wa siku 265 tangu nguri huyo wa siasa aondoke ndani ya Ccm

Ndani linaeleza ujio wake ulivyosababisha Cuf kufufuka bara na kujizolea majimbo

Linaeleza ujio wake ulivyosababisha Chadema kuipa kipigo kitakatifu mikoa ya kaskazini

Linaeleza ujio wake ulivyosababisha majiji yote isipokuwa Mwanza yalivyoangukia Ukawa
Ni kweli kasoro jiji la Mwanza. Sababu Mwanza waliwajaribu na kuona udhaifu wao. Kwa kuwa kiingia mjini si haramu na majiji mengine yameiga na tusubiri matokeo.
 
Ni kweli kasoro jiji la Mwanza. Sababu Mwanza waliwajaribu na kuona udhaifu wao. Kwa kuwa kiingia mjini si haramu na majiji mengine yameiga na tusubiri matokeo.
Ahsante mkuu kwa ufafanuzi wako nimebainikiwa na kutambua mwanza walichokifanya
 
Mkuu wa hili gazeti kajitambua baada ya mwenzake wa TSN kutumbuliwa, kumbe huwa wanajua upinzani ni faida na ccm ni hasara ee, bora WAMEANDIKA.
 
Back
Top Bottom