"Siku 18 za Revolution Egypt" Makinda Amechukua Wiki Kubadilisha Taratibu Bungeni...

niweze

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
1,008
116
Kama wale tunaofuatilia bunge la Tanzania Dodoma, tunaona tactics za ccm kutaka kamati za bunge ziendwe kwa watu wanaowafahamu na kuhakikisha Chadema inawekwa nje ya siri za serikali. Hii demokrasia ya kujenga ukuta wa kulinda information za Dowans, Richmond, EPA, Mapato ya Kodi, Mapato kutoka biashara za serikali na makampuni binafsi. Kuna siri nyingi za kufanya ccm wazuie Chadema kutojua Taifa letu linaibiwa vipi na limeibiwa vipi. Hii barua ya CUF na UDP kupelekwa kwa Makinda ni moja wapo ya njama za ccm kurudisha, kujenga hoja ya kuanzisha kambi rasmi badala ya kambi ya upinzani. Ilikuwa ni muhimu Cheyo na Hamad kufanya hivyo na mpaka sasa wamefanikiwa kumweka Cheyo (wanae mwamini), Mrema (mwanasiasa aliechakaa) na Zitto (mwanachadema weak). Tukiwachunguza kwa undani, Cheyo hapo nyuma tumeona hana lolote lile na historia ya kufuatilia matakwa ya wananchi. Cheyo ni mroho wa pesa kama yeye anavyo dai na kitu kikubwa hana tofauti na Rostam - yupo tayari kupokea "hongo" in-exchange of investigations to ccm. Mrema kaisha kisiasa na wakati wake ulisha pita sijui kama anajua kinachoendelea, hana tofauti na wazee wa ccm waliokwisha kama Warioba ambao wanapenda kuonekana they care about their people but they don't have gut to say. Zitto ndio tulisikia tena karudishwa uongozini Chadema, anaonekana mpinzani kati ya wapinzani. Kifupi ni hivi, Kambi Rasmi Imeundwa Kutokana na Vigezo Gani? Spika Makinda Anachafua Amani ya Tanzania. Tunauliza hili
Matokeo ya Viti vya Bunge ni Haya
TLP = Mbunge 1
UDP = Mbunge 1
Chadema = Wabunge 70

Cha Kuuliza Makinda Katoa Wapi Huu Utaratibu wa Kuvuruga Democrasia Tanzania? Vyama Vyenye Wabunge Mmoja Mmoja Ndio Wanapata Nafasi ya Kuungoza Hoja? (kuwa na Wabunge Wachache thats means Weak-support kwa Wananchi. Chadema Wabunge 70 Hawana Haki ya Kuichunguza ccm na serikali? au Wao Sio Watanzania? Huu Sio Mwisho ni Mwanzo wa Mapinduzi...

Vitu vingine ccm na Makinda wamefanya ni kuwarudisha na kuweka walinzi bungeni "Lowasa" na "Rostam"
Kwa ufupi ni kwamba
CUF Wamedhihirisha Kuwa Wao Watakwenda Kaburini na CCM. Wananchi Wanajionea Wenyewe. "Kelele za Udini Toka CUF ni Njama za Kubadilisha Ukweli na Kuwagawa Wananchi"

Wananchi na Chadema Tutahakikisha Dunia Inawafahamu CCM Sana kwa Demokrasia ya Chama Kimoja na Huku Wakitaka Dunia Waone Tanzania ni Free and Democratic
 
hao ni 70 tu wkifika 150 (na hiyo figure inaelekea hivyo 2015) nafikiri kutakuwa na jwtz kila mahali
 
Back
Top Bottom